Fiesta ilikuwa inaitwa summer jam kipindi hiko muziki wa kizazi kipya"uhuni"..unafananisha VP 2018WCB wameanza vizuri hasa kwa kupata mdhamini tena mkubwa, kitu ambacho hata Fiesta na Mziki mnene mwanzoni wakati wanaanza hawakufanikiwa hilo, cha msingi wawe fair upande wa malipo kwa wasanii. Waachane na tabia ya kuwapa promo ili show wafanye bure.
Sijui kama umeelewa nilichokiandika.Fiesta ilikuwa inaitwa summer jam kipindi hiko muziki wa kizazi kipya"uhuni"..unafananisha VP 2018
Kwa hiyo ww tatizo lako nini (nina wasiwasi na level yako ya elimu kwani hueleweki), 1.wafanye tamasha kama harambee au 2.wafanye lakini wasikate viuno wala kuvaa hereni.Acha kuhamaki kw
Acha kuhamaki kwa kutetea upuuzi wenu ,acheni kabisa kuwadanganya watanzania wenzetu ambao upeo wao ni mdogo na mnawadanganya walipe kiingilio kuja kuona wanaume wanakata viuono na waliovaa hereni.
MANGE KIMAMBI.
88.9 FM(Coconut) FM DSM ya Kusaga imechange na kuwa Wasafi FM.
Diamond Karanga - kusaga
Chibu Perfurme - Kusaga na Mkewe.
Nenda BRELLA kwa maelezo Zaidi Uone nani mmiliki.
Mhhhh mbona wachezaji nyota wa soka/NBA duniani wanatoboa masikio na kuvaa hereni, so unatushauri tusiangalie soka kwenye TV kuwakwepa, na hata timu ya soka ya Brazil ikija Taifa tusiende kisa wachezaji wake wanatoboa masikio....ππππNahisi
Nahisi hujanielewa mkuu,mimi sina tatizo na wanamziki uliowataja hata kidogo.Tatizo na hayo matamasha yanaharibu na kupumbaza watoto.Hayo matamasha angalao basi yangestahili kuwepo na ujumbe wa kuelimisha na sio kwenda kukatika viuno wanaume wazima na wamevaa hereni kama mabinti.Hivi wewe utajisikiaje siku mwanao atakapokuambia baba nataka nitoge masikio ili nifanane na mwanziki fulani ?
We unaongea upuuzi gani. Wale muziki ndiyo ajira yao sasa hizo kampeni au harambee kwanini zisifanye wizara zinazohusika.Hivi huu upuuzi wa matamasha kwa nini badala ya matamasha ifnyike harambee kwa ajili ya kuchangie elimu na afya?.inasikitisha serikali bado inavumilia huu upuuzi wa matamasha.
Zamani tulikuwa tunatmia mikanda kwenye kamera,sasa ni digital, tulikuwa na tv za kichogo sasa ni flat screen tena smart tv.Huwa nashangaa sana kuona mtu anakuja na kuidharau wcb kisa ceo ni diamond! diamond ni mtoto mdogo sana lakini anawahenyesha wakubwa
Zamani matangazo ya fiesta yalikuwa hayana vijembe na yalikuwa yakawaida sana kwasababu waliamini hakuna zaidi yao! walikuja efm na mziki mnene lakini haikuwa na nguvu katika fiesta
Diamond alipo tangaza kuwa wasafi festival ni tarehe 24 siku ambayo fiesta watakuwa wanafunga tamasha lao! nikaona mabadiriko katika matangazo yao wameanza kupata tabu sana kwasababu tu ya wasafi festival inayo fanyika mtwara mbali kabisaaa na dar es salaam! sasa clouds pamoja na ukubwa wao bado wanahaha na wasafi festival ya kijana mdogo sanaa, vyovyote vile wasafi wa win au wa loose ila wameshabadiri upepo wa sanaa tanzania! naona sasa wana hip hop wanapata nafasi kitu ambacho mziki mnene na fiesta ilishindwa kufanya! naona sasa taarabu inakumbukwa kitu ambacho mziki menen na fiesta ilishindwa! si ajabu hadi bendi zikaenda mtwara na kwingineko ila sasa clouds wanahaha
Diamond ndie alie anzisha matangazo ya mziki kwa njia ya video zile za kama movie kitu ambacho clouds wameiga lakini wameshindwa! haya ndio mapinduzi ya sanaa tunayo yataka kuyaona
Wasafi festival imeanza kwa kupata mdhamini mkubwa sanaaaaa tanzania pepsi kampuni kubwa sana tanzania kitu ambacho fiesta inaanza ilishindwa kuanza nacho hii inaonesha ni kwa namna gani wadhamini wanaona kuwa diamond ni mtu ambaye yupo serious kikazi naamini kabisaa huenda wasafi wamekataa wadhamini wengi tuuu!
Mapinduzi haya ya burudani kama diamond atasamama imara bila upendeleo huenda baada ya miaka 2 fiesta asiwe mshindani wake! sasa ameonesha ukaribu na nandy na hapa i bet huenda nandi akaaicha fiesta na kwenda wasafi festival ni suala ya muda tuuu ila tutapata majibu! msanii mkubwa wa kwanza wizkid ameshatangazwa kuja dar kwenye wasafi festival kitu ambacho fiesta wamekishindwa kwa miaka kadhaa,tutegemee makubwa sana kwenye hii wasafi festival! huenda tarehe 24 dar watu wakawa wachache sana
Nimejiuliza kama wasafi festival ingeanzia morogoro hapo karibu na dar nauli elfu 5 fiesta wangepanic vipi? haya mapinduzi ya burudani ni makubwa sana! wasafi festival inatangazwa kwenye social media tuu na wasafi fm ambayo inasikika dar tuu pamoja na wasafi tv ambayo wengi hawajakaa kuiona lakini imepata nguvu sanaaaa
sasa nani ana wadharau wcb?
Pole mkuu,,jibu swali ,mwanao wa kiume siku akikuuliza baba nataka kutoga masikio na niwe nacheza kwa kukata kiuono kama nilivyoona kwenye tamasha la muziki utajisikiaje ?sidhani kama utamwambia kuwa mwanangu nitakuruhusu ujifunze kucheza kwa kukata kiuno kwa maana hata wangoni wanafanya hivyo pia?Kwa hiyo ww tatizo lako nini (nina wasiwasi na level yako ya elimu kwani hueleweki), 1.wafanye tamasha kama harambee au 2.wafanye lakini wasikate viuno wala kuvaa hereni.
Nani anadanganywa wakati show ni 18 above, usitake kuwaamulia watu waishi kama utakavyo, kwani kukata viuno si kitu cha ajabu wangoni na wazaramo katika ngoma zao za asili kuanzia mababu na mababu wanakata kiuno na asilimia kubwa ya ngoma za asili za Kiafrica wanakata viuno sasa cha ajabu nn . Una mawazo ya kipuuzi na ya kimasikini yaani hujui
unachokisimamia,unapayuka hueleweki kama sigara kali .
Ajira ya kuvaa hereni kwa wanaume na kukata viuno ?hii ni ajira ya aina gani mkuu?We unaongea upuuzi gani. Wale muziki ndiyo ajira yao sasa hizo kampeni au harambee kwanini zisifanye wizara zinazohusika.
Wewe unavaa hereni Mkuu?Mhhhh mbona wachezaji nyota wa soka/NBA duniani wanatoboa masikio na kuvaa hereni, so unatushauri tusiangalie soka kwenye TV kuwakwepa, na hata timu ya soka ya Brazil ikija Taifa tusiende kisa wachezaji wake wanatoboa masikio....ππππ
Ndio navaa, mimi ni Masai wa Monduli πππWewe unavaa hereni Mkuu?
Asipo kuelewa apa mkuu icho kichwa ageuze kuwa yai labda itakua nafuu.Ngoja labda nikueleweshe kidogo labda utaelewa na usipoelewa basi hutokaa uelewe.
Tuchukulie mfano mdogo wa Diamond aliyekuwa akiishi tandale kwenye maisha amgumu sana.
kupitia mziki amebadirisha maisha yake mwenyewe, mama yake na ndugu zake.
Kamwezesha mama yake ana biashara kaajiri watu kamwezesha dada yake ana biashara na kaajiri watu na ana watoto anasomesha
Yeye mwenyewe kawasaidie wengine ray vanny, harmonize, lava lava, akina moze iyobo ambao nao chini yao kuna watu
kaajiri produce Laizer, wapiga picha, wapiga vyombo ka nusder the pianist, kawapa ajira akina babu tale na sallam sk.
Bado kapata mtaji wa kufungua kiwanda cha karanga japo wanasema siyo cha kwake lakini hata kuwa shareholder au partner ni kutokana na kazi yake ya mziki,
Bado kaanzisha tv ana redio ambayo imeajiri watu wengi sana.
Ukitazama yeye tu na ajira alizotengeneza na watu wanaonufaika si chini ya wanufaikaji 300+, na yote chanzo tu ni mziki huyo ni diamond tu.
Kuna vijana wengi ambao pasipokuwepo mziki na matamasha wangekuwa wakabaji.
Usifikirie kodi tu fikiria kipato wanachoingiza kinachangia kendeleza uchumi kupitia mambo wanayofanya kama kujenga wanapa ujira mafundi, wanasomesha watoto dnugu na jamaa, wanafanya manunuzi wanachangi kodi via VAT.
Na kila mtu hawezi kutoka kwakuwa daktari, mwanasheria, sijui engineer maana watu hatufanani ndiyo maana darasani kuna wa kwanza na wa mwisho.
Na pia ndiko kujiajiri kwenyewe maana sekta nyingine ikiwemo serikali imeshindwa na katu haiwezi kuajiri vijana wote.
Mimi mmasai wa Longido kwa hiyo ni kawaida, akitaka kukatika mwache akatike kwani wazaramo na wangoni vizazi na vizazi wanakatika . Alafu mtu mwenyewe mweupe huwajui hata wangoni (wangoni wanaume kwa wanawake wote wanakatika) , ndio maana na kwambia kila mtu na imani, mila na desturi zake usimpangie nini cha kufanya.Pole
Pole mkuu,,jibu swali ,mwanao wa kiume siku akikuuliza baba nataka kutoga masikio na niwe nacheza kwa kukata kiuono kama nilivyoona kwenye tamasha la muziki utajisikiaje ?sidhani kama utamwambia kuwa mwanangu nitakuruhusu ujifunze kucheza kwa kukata kiuno kwa maana hata wangoni wanafanya hivyo pia?
Oh sawa ,basi sio vibaya pia ukachukua kozi ya kukata mauno utakuwa umekamilika kama msaani wa kizazi cha sasaNdio navaa, mimi ni Masai wa Monduli πππ
Kwa hiyo sio vibaya kusema kuwa haya matamasha ni kwa ajili ya kukata mauno?Mimi mmasai wa Longido kwa hiyo ni kawaida, akitaka kukatika mwache akatike kwani wazaramo na wangoni vizazi na vizazi wanakatika . Alafu mtu mwenyewe mweupe huwajui hata wangoni (wangoni wanaume kwa wanawake wote wanakatika) , ndio maana na kwambia kila mtu na imani, mila na desturi zake usimpangie nini cha kufanya.
Ndio kwani kwani kosa lipo wapi,kwani kukata viuno ni kosa ? kwa mujibu wa sheria ipi? kama hujui hata mzee wa Msoga alimcheza mwanae na kalimwaga uno pamoja na exposure yake kubwa ya kuzunguka ktk inchi tofauti,acha kuwa mtumwa wa fikra.Kwa
Kwa hiyo sio vibaya kusema kuwa haya matamasha ni kwa ajili ya kukata mauno?