Nani Anawadharau WCB?

Nani Anawadharau WCB?

Ndio kwani kwani kosa lipo wapi,kwani kukata viuno ni kosa ? kwa mujibu wa sheria ipi? kama hujui hata mzee wa Msoga alimcheza mwanae na kalimwaga uno pamoja na exposure yake kubwa ya kuzunguka ktk inchi tofauti,acha kuwa mtumwa wa fikra.
Endelea kukata mauno mkuu ni ajira kubwa sana
 
Sana Wanne Star yupo ulaya anayakata mauno,Fally Ipupa tajiri yule anayarudi mauno,as long sio kosa lakini unapiga hela,wewe endelea u-primitive wako,open your mind.
 
Hela ipo na inapatikana kwa kutumia akili na si kukata mauno mkuu,ila ingependeza kama mngehakikisha kuwa mchezo wa kukata mauno nao unaingizwa kwenye michezo ya olimpic
 
Tatizo lako unameza ,yaani unazani wote wataingiza hela kwa kusoma na kuingia darasani,kuna wengine wameandikiwa kuingiza hela kupitia vipaji vyao (kukata mauno ) na ipo hivyo,wewe endelea na u-primitive wako open your mind.
 
Kosa

kata kata kata mwanangu kata wala usigope
 
Open your mind,watu wakitaka kukatika waache wakatika as long ,they get money and they do not break any law,usitake watu waishi kama utakavyo wewe,hueleweki una ruka ruka kama bisi,izo sheria zako za kipuuzi na misimamo yako ni wewe na familia yako.
 
Kuwa na amani ,kata kata kata mwanagu kata wala usiogope ni ajira nzuri
 
Sikuwahi kuamini kwamba WCB/Wasafi Kusaga ana share, hata kwa matamko yote yaliyotajwa na watu, maana hakuna evidence.

Ila baada ya Wasafi FM kuwa hewani kuna baadhi ya siku matangazo huwa yanapotea inasikika Coconut FM ya Zanzibar ambayo tunajua mmiliki wake.

Swali linakuja kweli Kusaga anaweza kumuuzia frequency adui?

Na maana yake ni nini kuinvest kwenye rival companies?
Na hao coconut wameshatangaza kuachana na 88.9 soon watatumia freq nyengne
 
Back
Top Bottom