Wewe bila shaka ni mgeni kwenye nchi hii.Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda,tigo,airtel nk.Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.
Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet.m kwa siku kama mbili na zaidi?
Wajuzi karibuni.
Lazima afidiwe sababu sio hiyari yake kukosa kifurushi.Mfano kama mtu alijiunga na kifurushi cha wiki moja na hiyo wiki ikawa inaisha leo ina maana kama atakuwa hajamaliza MB zake hatafidiwa siku za kwisha hicho kifurushi chake kwa hizi siku tatu zilizopita bila kupata internet?
Hakuna anayewajibika. Nchini Tanganyika kuwajibika is a clichee.Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini,watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda,tigo,airtel nk.Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.
Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet.m kwa siku kama mbili na zaidi?
Wajuzi karibuni.
Seacom inabidi wapigwe kesi wao ndio wasambazaji wa nyaya baharini. Na ndio mitandao yote ya simu ni wateja waoSalam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.
Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet kwa siku kama mbili na zaidi?
Wajuzi karibuni.
Kwa hiyo inategemea na makubaliano mliyoingia..Terms and Conditions apply. Nafikiri hapo kuna majibu. Pamoja na kuwa wengi hatusomi.
We are happy to inform you that Vodacom internet services are restored. Affected customers will be refunded. We apologize for the inconvenience. Thank you.Vodacom wamesema watawafanyia wepesi kidogo ambao walijiunga na huduma ya internet kwa hizo siku na hawakupata huduma katika ubora wake.
Sema hii Tanzania home boy usiwaze sana utaumiza kichwa.Anyway mwenye nchi sijui kama katoka France mpaka sasa