kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 May 15, 2024 #21 HOPEfull said: Kwa hiyo inategemea na makubaliano mliyoingia.. Click to expand... Haya ni mojawapo ya masharti na vigezo vya mojawapo ya watoa huduma wetu.
HOPEfull said: Kwa hiyo inategemea na makubaliano mliyoingia.. Click to expand... Haya ni mojawapo ya masharti na vigezo vya mojawapo ya watoa huduma wetu.
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 May 15, 2024 Thread starter #22 Tu Donnie Charlie said: We are happy to inform you that Vodacom internet services are restored. Affected customers will be refunded. We apologize for the inconvenience. Thank you. Click to expand... Tunasubiri na wengine.
Tu Donnie Charlie said: We are happy to inform you that Vodacom internet services are restored. Affected customers will be refunded. We apologize for the inconvenience. Thank you. Click to expand... Tunasubiri na wengine.
H HOPEfull JF-Expert Member Joined Apr 8, 2021 Posts 1,882 Reaction score 2,313 May 15, 2024 Thread starter #23 kijani11 said: Haya ni mojawapo ya masharti na vigezo vya mojawapo ya watoa huduma wetu. View attachment 2990845 Click to expand... Duh hapa inaonesha kuwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe likitokea la kutokea.
kijani11 said: Haya ni mojawapo ya masharti na vigezo vya mojawapo ya watoa huduma wetu. View attachment 2990845 Click to expand... Duh hapa inaonesha kuwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe likitokea la kutokea.
kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,113 Reaction score 8,610 May 15, 2024 #24 HOPEfull said: Duh hapa inaonesha kuwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe likitokea la kutokea. Click to expand... Siku zote watoa huduma huweka vigezo kwa kuangalia "worst case scenario" kwao.
HOPEfull said: Duh hapa inaonesha kuwa kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe likitokea la kutokea. Click to expand... Siku zote watoa huduma huweka vigezo kwa kuangalia "worst case scenario" kwao.