and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Kanisa la Arise & Shine limezindua HEMA KUBWA AFRIKA AFRIKA MASHARIKI. Je ni wa kina nani ni wajumbe wa Baraza la Wadhamini.
Hilo ni kanisa linalotembea halina tawi hata mkoani mkuu ! Mwamposa hongera kupiga pesa za wajinga nchiniKazi yao ni nini?
Je wana kipaji kuliko mwenye kanisa?
Kama wapo watakuwa ni bendera fuata upepo tu kama mwenye kanisa alivyo kwenye chama chetu