Nani anawakumbuka wachezaji Wa Kikosi hiki cha Simba?

Nani anawakumbuka wachezaji Wa Kikosi hiki cha Simba?

kikaniki

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2014
Posts
508
Reaction score
968
Hapa namkumbuka Tanzania One, Mohammed Mwameja (golikipa) na mfadhili Wa timu Azim Dewji aliyevaa nguo nyeupe (mwenye asili ya kiasia)
IMG-20220808-WA0082.jpg
 
Iddi Seleman amefariki jana, hata mazishi bado.
Wa mwsho upande wa kulia, walio chuchumaa.
 
Back
Top Bottom