Wadau Salaam!
Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?
Mkuu wasiliana na hawa jamaa GM Business Development Consult Ltd GM Consult | We are here to help you grow