Nani anaweza kuandika Business Plan ya Mradi wa Maziwa??

Nani anaweza kuandika Business Plan ya Mradi wa Maziwa??

RONJO

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
23
Reaction score
11
Wadau Salaam!

Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?
 
Wadau Salaam!

Ninataka kuanzisha biashara ya ksuindika na kuuza maziwa na hivyo ninataka business plan. Nani anaweza kuandika plan ambayo inaweza kushinda mkopo wa benki?

tupeane hzo in4mation basi imekaaje? Bank gani au kwa in4 zaidi tutembelee wapi? Au unataka kuatamia mwenyewe, haya mm naweza kuandalia bsnes plan ya hyo kitu tena ukauza mazao tofaut za maziwa ikiwemo yorghut, cheese, butter kwenye hyo project.
 
Tafadhali wasiliana nasi kupitia namba hii +255713690220
Waweza pitia website yetu kuona shughuli zetu:
Home

Karibu sana.
 
Back
Top Bottom