Mbona kupata laini ni simpo tu Tafuta vitu vifuatavyo
Tin Number
Lesseni ya biashara
Kitambulisho cha Nida
Paspoti saizi kwa kila laini
Baada ya hapo Tafuta mawakala wakuu wa kila laini, hapo utapata laini kwa garama ya chini ya Elf 50 kwa urahisi, kutafuta laini kwa wa mitaani ni Risk kubwa halafu ni garama kubwa