Nani anaweza kuwa mchezaji bora wa Simba msimu huu?

Nani anaweza kuwa mchezaji bora wa Simba msimu huu?

Nkerebhuke

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2021
Posts
796
Reaction score
2,026
Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
 
Hizo sherehe kwa mwaka huu zisitishwe tu maana hakuna walichokifanya
 
Manila, Kuduta ma penalty nje ya nchi sio mchezo Tena matatu, mawili mechi moja
 
Timu imevurunda kila sehemu, Caf Championship, Nbc league, Azam confederation mchezaji bora wa nn?
 
Back
Top Bottom