Audit Report inaonesha Euro 1.9 Billion went missing! Hiyo ni karibu Trilioni 5 pesa ya Bongo!! Aidha vitabu vinaonesha wana madeni ya Euro 3.5 Billion, ambayo ni zaidi ya Trilion 8 za Bongo! Kwahiyo wala sikushangaa niliposikia watatoa kadi mpya kwa sababu WireCard ndo kwaheri! Swali lililobaki ni je new card issuer charges zake zitakuwa vipi! Zitakuwa nafuu kuliko za sasa, zitabaki vilevile au zitakuwa juu!!
Kuhusu kutuma pesa kutoka Skrill to SafariCom, I doubt kama inawezekana! Niliachana na Skrill miaka mingi kidogo iliyopita na partly kwa sababu walikuwa hawatoi kadi kwa Tz. Na kama huna kadi yao, I doubt kama unaweza kufanya transfer kutoka Skrill to SafariCom. Na ukiwa na balance yoyote, kama huna kadi kuitoa hiyo pesa ni sharti kwa wire transfer to your bank account. So, ukitaka kupata jibu sahihi, angalia kama kuna option ya kupata kadi. Kama ipo basi apply for virtual prepaid master card na baada ya hapo utaweza ku-transfer to M-Pesa. Kama option hiyo haipo ina maana bado TZ hatupo eligible kupata kadi na kwahiyo sidhani kama inawezekana kuhamisha to MPesa!!
All in all, SafariCom wananitia wivu sana, sijui kwanini kampuni za simu TZ wanashindwa kuwa aggressive kama SafariCom. Unajua SafariCom hata Upwork inatumika!