bbwaoy JF-Expert Member Joined Apr 17, 2015 Posts 466 Reaction score 468 Aug 15, 2016 #1 Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu. Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua pengine??? Sio kwa kuya miss huku...
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu. Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua pengine??? Sio kwa kuya miss huku...
aikaruwa1983 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 1,398 Reaction score 1,500 Aug 15, 2016 #2 uko chato nini?
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 32,529 Reaction score 76,691 Aug 15, 2016 #3 Duh! mpk umeyakumbuka si mchezo
MU-ARSENAL JF-Expert Member Joined Sep 21, 2012 Posts 956 Reaction score 597 Aug 21, 2016 #4 Kuna mabulunje je unayajua