Nani anayajua mabese?

Nani anayajua mabese?

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Kuna makitu flani niliwahi kula kwa jirani yanaitwa mabese aiseeee ni miaka kama 15 hivi sijapata kuyaona tena hayo makitu.

Yanakuwa na rangi flani hivi kama ya cream matamu sana. Kuna anaeyajua pengine??? Sio kwa kuya miss huku...
 
Duh! mpk umeyakumbuka si mchezo
 
Back
Top Bottom