PreGE2025 Nani anayeaminika kuwemo kwenye Tume Huru ya Uchaguzi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

bravofau2

Senior Member
Joined
Oct 4, 2023
Posts
104
Reaction score
108
Katika hali ya kawaida sio kwamba wahusika wamepuuza kinachoendelea kutokana na mapendekezo ya vyama vya upinzani.

Ukweli ni kwamba nyuma ya pazia wanajaribu kuona cha kufanya (wanapima) kwamba ni njia gani watumie ili kuukubali mchakato wa mageuzi ya uchaguzi yanayopendekezwa.

Huku juu juu unaweza kuhisi wamepuuza lkn ukweli ni kwamba ujumbe umepokelewa na unafanyiwa kazi.
Vyama vya upinzani, agenda yenu ikikubaliwa kufanyiwa kazi, mtwambie.

Ni nani anapendekeza majina ya watu wa kuingia kwenye tume huru ambayo yatapelekwa kwa Rais?

Serikali ya CCM iko madarakani kwa muda mrefu, hakuna isiyemfahamu katika hii nchi, Je, hapawezi kuwa na mawasiliano ya awali ya wateuliwa?

Naskia wanatajwa majaji, Ni jaji yupi (alieko kazini au alie staafu) ambae hajapita kwenye uteuzi wa Rais? Je, hatakubumbuka Fadhila ya kuteuliwa?

Hawa wakisimamia mm ndo naweza kuelewa kwamba tunaweza kupata matokeo halali...

1: Professor Asad
2: Jaji Warioba
3: Mzee Butiku
4: Baadhi ya wajumbe wa LHRC
5: Viongozi wa dini kwa madhehebu yote nchini

Karibuni tuongezee wengine....
 
Babu yetu mzee warioba akisaidiana na viongozi wa dini madhehebu yote
 
Shekhe Mkuu .
Shekhe Ponda
Malasusa,
Dr.Shoo.
Dr. Kitima
Dr.Nagonza
Profesa Asad
Juji Warioba .
Alhaj. Shekhe Musa.
Kuna yule Prof. Banna
Prof . Mruma.

Hawa majaji waliopo kwa sasa hawaaminiki kwa sababu wanaonekana wanatishwa sana kwenye nafasi hizo kuanzia kwa wahalifu wa mitaani mpaka ,magenge ya mafisadi na wauza unga wakishirikiana na wanasiasa .
 
Back
Top Bottom