Nani anayeamrisha haya yafanyike tumboni kwa mama

Vivax

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Posts
520
Reaction score
184
Jamani ikishatungwa mimba ya bin Adam au mnyama,nani huamrisha :-
sasa vidole ,ubongo mifupa utumbo,macho masikio nk nk.....
Vianze kujipanga?

Ni "operating system" gani hutumika?hasswa kupachika hizo applications kama vile ubongo ,macho,masikio,miguu nk...
Nawasilisha!
 
Ni mfumo ushatengeneza kama ilivyo ukuaji wa mtu kuanzia amezaliwa anapevuka anazeeka anakufa.
Memory fed within our genes.
Yani sawa na mfumo wa uzalishaji wa gari zinazotumia umeme za Tesla. Robots zishakuwa programmed kuwa baada ya hiki kinafuata hiki then hiki and thats how ot works...
 
Sawa kabisa Mkuu! umeeleza vizuri.

Genes....information zilizopo kwenye genes alizochangiwa na wazazi wake....Pamoja na gene operating system[Activation & Deactivation] ndio vinavyofanya hayo yote yatokee.
 
Genes information ndio nani?
My question was who?
The "genes information " is already a running application " but who is the vendor of these application.
From almost a single cell developing to the full creature!
 
Are you asking who?,

Do you really think there must be someone who gets inside the womb to effects the process?
 
You are asking who?,

Do you really think there must be someone who gets inside the womb to effects the process?
Not exactly getting inside and start to build the creature like a Fundi mashi? No ! To the best capacity of my brain I think there is a blue tooth like mechanism !
 
Sawa kabisa Mkuu! umeeleza vizuri.

Genes....information zilizopo kwenye genes alizochangiwa na wazazi wake....Pamoja na gene operating system[Activation & Deactivation] ndio vinavyofanya hayo yote yatokee.
Unapozungumzia programmed robots ,INA maanisha bin Adam ndio programmer, sasa hii mechanism ya kilichotumboni ya cells kuwa "specialized" ,cells hizi za miguu,za macho za pua,nk...
Nani "programmer"?
 
hilo swali halina majibu hapa duniani bali Mungu pekee anajua siri hiyo
Wewe nani alikuambia Mungu ndiye anayejua?

Umewahi kumuona huyo Mungu?

Kusema Mungu ndiye anayejua kisha kuongeza kazi za Mungu hazichunguziki, kuna wafanya watu wasiwe watafiti.
 
Not exactly getting inside and start to build the creature like a Fundi mashi? No ! To the best capacity of my brain I think there is a blue tooth like mechanism !
From the best capacity of your brain, describe that blue tooth like mechanism, how it looks like, and how it works.

Mostly important give us evidences that convinced you to suspect the existence of that blue tooth like mechanism.
 
Sawa kabisa Mkuu! umeeleza vizuri.

Genes....information zilizopo kwenye genes alizochangiwa na wazazi wake....Pamoja na gene operating system[Activation & Deactivation] ndio vinavyofanya hayo yote yatokee.
Nani mumiliki was "genes operating system"

Android inamilikiwa na Google
Microsoft na Microsoft corporations
Symbiam Mali ya Nokia.
 
Unapozungumzia programmed robots ,INA maanisha bin Adam ndio programmer, sasa hii mechanism ya kilichotumboni ya cells kuwa "specialized" ,cells hizi za miguu,za macho za pua,nk...
Nani "programmer"?
Nature, ndio inayo-shape viumbe ili waweze ku-adapt kwenye mazingira yaliyopo.
 
Nani mumiliki was "genes operating system"

Android inamilikiwa na Google
Microsoft na Microsoft corporations
Symbiam Mali ya Nokia.
Hizo genes na system zake zipo kwenye cells, wakati wa kuzaliana wazazi wanamchangia mtoto genes.
 
HAKIKA MUNGU WETU NI WAAJABU NA ACHUNGUZIKI DAIMA.
YEREMIA 1:4

Well said mkuu...
Yaan Mungu ni wa ajabu sana, Kwa sisi tinaoamini uwepo wake... Kuna kitu kinanidhangaza kwa mwanangu, kuna alama ambayo baba yake anayo na yeye vile vile anayo. Yaan kila siku inanitafakarisha saana hiyo alama na ninazidi kumshangaa Mungu...
S
 
Mwenyezimungu muweza kwake hili ni jambo dogo sana. Kila kitu amekieleza kwenye Qur'an tukufu..
...kuna mambo 5 tu Allah azza wajallah ndiye anayeyajua kwa undani. Moja kati ya hayo ni kuja kilichotboni mwa mjamzito. Anajua kuanzia jinsia, umbile, kitakuja lini duniani,kitaondoka lini duniani,na kitatumia maji Lita ngapi hapa duniani,kiasi gani cha hewa atakitumia hapa duniani. Yote hayo mwenyezimungu anayajua toka akiwa tumboni.
 
Tafiti zinaendelea iko siku utapata Maelezo ya kina kwani Mungu anazidi kuwafunguliwa miujiza yake ktk uumbaji wake
 
Hahahaa hilo swali kwa kawaida wanasayansi hipenda kubisha sana uhusika wa Mungu. Umeuliza nani wao wanajibu genes. Lkn pia wapo wasioamini Mungu maatheist nao wana majibu yao.endelea kufuatilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…