Nani anayeamrisha haya yafanyike tumboni kwa mama

Nani anayeamrisha haya yafanyike tumboni kwa mama

Wewe nani alikuambia Mungu ndiye anayejua?

Umewahi kumuona huyo Mungu?

Kusema Mungu ndiye anayejua kisha kuongeza kazi za Mungu hazichunguziki, kuna wafanya watu wasiwe watafiti.
Huo utafiti wenu hadi hadi sasa hamjapata majibu?

Hivi binadamu ambae hawezi tengeneza/umba a mere fly anaweza nn?

Wewe mwenyewe hata hujui ulikotoka then unapinga supreme power somewhere....iko siku utakiri tu kuwa Sir God is everything!
 
1.Tafiti za kisayansi ndizo zilizoleta amani Duniani, mliambiwa mkiugua mwende mkafanyiwe maombi lakini leo hii mnakwenda hosipitali.

2.Kuna majumba, gari, mashine kibao zilizotengenezwa na watu, huyo Mungu mnayesema ndiye muumbaji sidhani kama ana huo uwezo, hata hivyo vitu mnavyosema aliumba Mungu vina mapungufu mengi mno ya kiuumbaji.

3.Nani aliyekuambia sijui nilikotoka?.....Unaweza kuthibitisha uwepo wa Mungu?
 
Back
Top Bottom