Ngozi Joram
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 662
- 545
Utasababisha akuulize who made those genes?Hizo genes na system zake zipo kwenye cells, wakati wa kuzaliana wazazi wanamchangia mtoto genes.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utasababisha akuulize who made those genes?Hizo genes na system zake zipo kwenye cells, wakati wa kuzaliana wazazi wanamchangia mtoto genes.
Huo utafiti wenu hadi hadi sasa hamjapata majibu?Wewe nani alikuambia Mungu ndiye anayejua?
Umewahi kumuona huyo Mungu?
Kusema Mungu ndiye anayejua kisha kuongeza kazi za Mungu hazichunguziki, kuna wafanya watu wasiwe watafiti.
1.Tafiti za kisayansi ndizo zilizoleta amani Duniani, mliambiwa mkiugua mwende mkafanyiwe maombi lakini leo hii mnakwenda hosipitali.Huo utafiti wenu hadi hadi sasa hamjapata majibu?
Hivi binadamu ambae hawezi tengeneza/umba a mere fly anaweza nn?
Wewe mwenyewe hata hujui ulikotoka then unapinga supreme power somewhere....iko siku utakiri tu kuwa Sir God is everything!
Hilo swali linarudi kwenye 'origin of life' ambalo hadi leo halijapata jibu kamilifu.Utasababisha akuulize who made those genes?