Nani anayejua historia ya Upendo Nkone?

1.Mungu Baba
2.Yesu Aliniita
3.Upendo wa Yesu
4.Hapa Nilipo
5.Atakuja kulichukua kanisa
6.Usifurahi juu yangu
7.Uniongoze

Nyimbo zangu bora za wakati wote kutoka kwa Upendo Nkone
Hiyo ' usifurahi juu yangu' inatumia ujumbe mzito sana
 
Uniongozee yesu bado nakuhitaji uniongoze yesu kiongozi mwema

Naupenda sana
 
1.Mungu Baba
2.Yesu Aliniita
3.Upendo wa Yesu
4.Hapa Nilipo
5.Atakuja kulichukua kanisa
6.Usifurahi juu yangu
7.Uniongoze

Nyimbo zangu bora za wakati wote kutoka kwa Upendo Nkone
Hizo bamba 4&7 ni [emoji95][emoji95]
 
Mimi sioni kama huwa anaimba. Huwa nasikia anaongea tuu. Pale ni beat tuna lisauti la maongezi lizitonmwanzo mwisho hakuna kuimba, labda tumwite rapa na sio mwimbaji
 
Kwa nilivyosikia NI kuwa alikuwa na mume,huyo mume akafariki.
Ndugu wa mume walimnyang'anya Mali alizochuma na marehemu mumewe
Ndo akaimba hizo nyimbo mlizotaja Hapo juu Kama vile unitetee,usifurahi ndugu yangu n.k nadhani NI Albany yake ya kwanza aliumba kwa hisia saana akiwa kwenye mapito.
Lakini kwa Sasa amepata mume mwingine
Ndo hayooo niliyoyasikia.
 

Album ya kwanza iliitwa Mungu Baba ilikua na nyimbo kama Mungu Baba,Yesu Aliniita,Kanisa na nyingine .Album ya pili iliitwa Hapa Nilipo ikiwa na nyimbo kama Hapa Nilipo,Usifurahi Juu Yangu,Upendo wa Yesu n.k Wimbo wa Unitetee upo kwenye album yake ya tatu
 
Sawa,NI Hapo kwenye Mungu baba nadhani
 
Hii ndio historia yake? au historia ya Albam?

Sent from my SM-J510FN using JamiiForums mobile app
 
Huna akili umezoea singeli
Mimi sioni kama huwa anaimba. Huwa nasikia anaongea tuu. Pale ni beat tuna lisauti la maongezi lizitonmwanzo mwisho hakuna kuimba, labda tumwite rapa na sio mwimbaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…