Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

Yeye analipwa kufanya kazi.
Hana wala hasimaiii badgeti (mapato wala matumizi) ya ofice yoyote.
He cant be audited

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAOT taasisi inayoongozwa na CAG hukaguliwa kila mwaka wa fedha na taasisi binafsi ya ukaguzi private independent audit firm mfano EY au PWC inategemea ni nani amepata hiyo tender kwa kipindi hicho.

Tender ya taasisi binafsi ya kukagua NAOT chini ys CAG husimamiwa na Wizara ya fedha na kutangazwa km tender nyingine kwemye magzaeti ya serikali km taratibu zinavyotutaka.

Taarifa ya ukaguzi huwasilishwa lwa katibu mkuu wizara ya fedha kwa utekelezaji sawa na mapungufu yatakayokuwa yamejitokeza.

Hata hivyo kwa kuwa NAOT huwa hawatengi fedha yoyote kwa ajili ya miradi ya maendeleo hivyo nature ya fedha zao za bajeti ni recurrent grants ambazo in nature hazina hazihitaji physical verification kwa sababu si kwa nature ya ku-aquire assets ambayo useful life yake ni more than 12 months au 366 days.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The CAG is known to be a direct descendant of the Great Hafez Al Assad, late ruler and dictator of Syria. By this logic, he is supposed to have the same blood-line or lineage if you will, as Prophet Muhammad, so he can never be wrong. Well, like they used to say in America back in the 1600s, his word is his bond.
 
We utakua economist uchwara/bomu kabisa. Inawezekanaje uwe hujui kwamba CAG mtu? Inakuaje hujui abcd za uhasibu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG siyo mtu bali ni instituition.

Sent using Jamii Forums mobile app



CAG ni cheo cha mtu mmoja, hivyo CAG inawakilisha mtu mmoja, labda ungesema Ofisi ya CAG hapo itakuwa na maana ya "Institution".

Naye kimsingi anakaguliwa na wale anaowakagua--- kazi ya CAG unaweza kusema ni "reciprocity job", kwa sababu CAG hawezi kusema, mfano, shs 1.5 trillion haionekani matumizi yake katika taasisi fulani, hapo ni lazima taasisi hiyo itowe MAJIBU na hapo ndipo unapoweza kusema CAG naye "amekaguliwa" juu ya utendaji wake.
 
Wakuu Kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya mwaka 2008 Kifungu 46 (1)- (6) cha Sheria ya Ukaguzi inatoa utaratibu wa kumpata Mkaguzi wa kuikagua Ofisi ya CAG. Sheria hiyo inaeleza kuwa Mkaguzi anayekagua ofisi ya CAG atachaguliwa na PAC kutoka kwenye makampuni binafsi ya ukaguzi Kwa Maana ya Private Audit Firms yanayotambuliwa na NBAA.
........
Kwa Mapenzi Mema Kabisa Nitamwandikia/Ofisi Ya Spika Kwamba Tunaomba Kamati Ya PAC itue Kampuni Ifanye Ukaguzi Ndani Ya Ofsi Ya CAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona na nyie mnatafuta pa kumshika baada ya kuwashika makengele
 
Kamongo mwingine wa lumumba na juhudi za kumchafua CAG Assad.

 
Kuna mambo ya msingi kwa sasa..
Budget ya taifa ipo mezanii..
Haya yako mpelekee spika huko aliko
 
Wanabodi,

Nimekuwa nikijiuliza sana swali hili kila ninaposikia na kuisoma ripoti ya CAG. Mashirika na Taasisi zote za serikali hukaguliwa ila sioni maelezo ya kina kuhusu Ukaguzi unaofanywa katika Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Kimantiki, CAG hawezi kujikagua, anapaswa kukaguliwa.

Wataalam wa hesabu, naomba kufahamu zaidi katika jambo hili ili tupate mwanga mpana wa dhana ya uwajibikaji. Asante.

Nelson
SUA- Morogoro


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada wa lumumba mnawashwa sana,spika wenu katumia mabillioni kupandisha cd4 zake,huku policeccm wamefisadi 16bn uniform feki plus billioni zingine 19.
Wapi kangi lugola na siro yani ccm bila ufisadi wanakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…