Ina maana siku hiyo ndio Profesa atawasilisha barua ya kujiuzulu?.
Inaweza kuwasilishwa Hata asipowasilisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana siku hiyo ndio Profesa atawasilisha barua ya kujiuzulu?.
This is Africa (T.I.A)Inaweza kuwasilishwa Hata asipowasilisha
Yeye analipwa kufanya kazi.Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
NAOT taasisi inayoongozwa na CAG hukaguliwa kila mwaka wa fedha na taasisi binafsi ya ukaguzi private independent audit firm mfano EY au PWC inategemea ni nani amepata hiyo tender kwa kipindi hicho.Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
We utakua economist uchwara/bomu kabisa. Inawezekanaje uwe hujui kwamba CAG mtu? Inakuaje hujui abcd za uhasibu?Hili swali huwa najiuliza sana. Kwa mfano kama hiyo hela inayopigiwa kelele 1.5 trilion kama ni uongo who makes the audit to him.
Au the assumption is that The CAG does not make mistake or in other words the CAG is God?
Or what are the underlying ussumptions for one to be the GAG or for the auditing to function.
I'm an economist i dont know the abcs of accounting works.
Naona na nyie mnatafuta pa kumshika baada ya kuwashika makengeleWakuu Kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya mwaka 2008 Kifungu 46 (1)- (6) cha Sheria ya Ukaguzi inatoa utaratibu wa kumpata Mkaguzi wa kuikagua Ofisi ya CAG. Sheria hiyo inaeleza kuwa Mkaguzi anayekagua ofisi ya CAG atachaguliwa na PAC kutoka kwenye makampuni binafsi ya ukaguzi Kwa Maana ya Private Audit Firms yanayotambuliwa na NBAA.
........
Kwa Mapenzi Mema Kabisa Nitamwandikia/Ofisi Ya Spika Kwamba Tunaomba Kamati Ya PAC itue Kampuni Ifanye Ukaguzi Ndani Ya Ofsi Ya CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Hapana Sio Kushika Pabaya, Kwani Hata Ww hautaki Kujua Matumizi Yanavyotumika Ndani Ya Ofisi Hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya mwaka 2008 Kifungu 46 (1)- (6) cha Sheria ya Ukaguzi inatoa utaratibu wa kumpata Mkaguzi wa kuikagua Ofisi ya CAG. Sheria hiyo inaeleza kuwa Mkaguzi anayekagua ofisi ya CAG atachaguliwa na PAC kutoka kwenye makampuni binafsi ya ukaguzi Kwa Maana ya Private Audit Firms yanayotambuliwa na NBAA.
........
Kwa Mapenzi Mema Kabisa Nitamwandikia/Ofisi Ya Spika Kwamba Tunaomba Kamati Ya PAC itue Kampuni Ifanye Ukaguzi Ndani Ya Ofsi Ya CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadada wa lumumba mnawashwa sana,spika wenu katumia mabillioni kupandisha cd4 zake,huku policeccm wamefisadi 16bn uniform feki plus billioni zingine 19.Wakuu Kwa mujibu wa Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya mwaka 2008 Kifungu 46 (1)- (6) cha Sheria ya Ukaguzi inatoa utaratibu wa kumpata Mkaguzi wa kuikagua Ofisi ya CAG. Sheria hiyo inaeleza kuwa Mkaguzi anayekagua ofisi ya CAG atachaguliwa na PAC kutoka kwenye makampuni binafsi ya ukaguzi Kwa Maana ya Private Audit Firms yanayotambuliwa na NBAA.
........
Kwa Mapenzi Mema Kabisa Nitamwandikia/Ofisi Ya Spika Kwamba Tunaomba Kamati Ya PAC itue Kampuni Ifanye Ukaguzi Ndani Ya Ofsi Ya CAG.
Sent using Jamii Forums mobile app