kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.
mimi nyandaigobeko ndio navutiwa na post zake
Kuvutia ni relative word. Hususani ukizingatia kuna sub-forums nyingi ndani ya JF. So ungeweka wazi maana ya kuvutia na katika jukwaa lipi! Kama ni kwa sub-forums zote,inakua impossible kwa 7bu kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la siasa,ila wanaandika pumba kwny jukwaa la mapenzi. Kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la matani (a.k.a mamelo) lakini wanaandika upupu kwny jukwaa la siasa. So mkubwa jaribu kufafanua ili hii opinion poll yako iwe imesimama na yenye mashiko.
Mh huoni aibu kumwambia mwenzio mameno mabaya hivyo, kweli uko mbele dakika tano hapo kilichokuudhi hivyo nini? Utapata vidonda vya tumbo bureee kwa kuchukia.
Mh huoni aibu kumwambia mwenzio mameno mabaya hivyo, kweli uko mbele dakika tano hapo kilichokuudhi hivyo nini? Utapata vidonda vya tumbo bureee kwa kuchukia.
Mamushka una boifrendi?
Hahahahahaah kwanini usimuulize kama ana girl friend?
Hahahahahaah kwanini usimuulize kama ana girl friend?
jina lake na maandishi yake ni vya kike baba mchungaji.
Ong`wise kinehe koi?
QUOTE=Burn;kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.
'JUKWAA HILI' lipi mkubwa? Mana hata JF nzima unaweza kuliaddress kama jukwaa hili. Hapo mtoa mada angetaka kuwasilisha ujumbe kwa urahisi angesema tu jukwaa la siasa au jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la michezo n.k. Afu pia ni kweli mkuu akili za binadamu zinatofautiana, kuna wenye akili sana, akili za kati,kuna wajinga sana na wajinga wa kati. Sasa kuanza kuquestion akili za watu sidhani kama unakua unafikiria nje ya box lako. Kwa mtu anaefikiri nje ya box,anapowakilisha mada anapaswa iwakilishe katika hali iliyo nyepesi kwa watu walio katika madaraja yote ya akili kumwelewa. Asante.
Mkuu wangu unaweza kuwa unakosea sana! Kuna jamaa humu zina majina ya kike na hata maandishi yao. Vivyo hivyo kuna wanawake wana ID za kiume. Unaqeza kuamini kama FMES ni demu?
Du FMES wale wazee wa umeme? du hivi siku hizi xspin, fiede80 na nguli wamehamia wapi, maana ulikuwa ukitaka project unawauliza wapwa halafu wanakuambia kama dume jike
QUOTE=Paka mweusi;Ong`wise kinehe koi wachilagwa?
Nalhe whiza bageshi. Ulemanha abanhu ghete Burn balhe na makoye!