Nani anayekuvutia kwa post zake katika jukwaa hili?

kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.

mimi nyandaigobeko ndio navutiwa na post zake

Mh huoni aibu kumwambia mwenzio mameno mabaya hivyo, kweli uko mbele dakika tano hapo kilichokuudhi hivyo nini? Utapata vidonda vya tumbo bureee kwa kuchukia.
 
Kuvutia ni relative word. Hususani ukizingatia kuna sub-forums nyingi ndani ya JF. So ungeweka wazi maana ya kuvutia na katika jukwaa lipi! Kama ni kwa sub-forums zote,inakua impossible kwa 7bu kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la siasa,ila wanaandika pumba kwny jukwaa la mapenzi. Kuna wanaondika vyema kwny jukwaa la matani (a.k.a mamelo) lakini wanaandika upupu kwny jukwaa la siasa. So mkubwa jaribu kufafanua ili hii opinion poll yako iwe imesimama na yenye mashiko.

Sure, umeongea point tupu ndugu!
 
Mh huoni aibu kumwambia mwenzio mameno mabaya hivyo, kweli uko mbele dakika tano hapo kilichokuudhi hivyo nini? Utapata vidonda vya tumbo bureee kwa kuchukia.

Hayo ndio ninayoyasema maana humu ukiingia humu kuna kila kitu,hasira,vichekesho,maudhi n.k hapo naona jamaa kashindwa kujizuia hasira zake,haya tuache hayo mimi naongezea wapwaz wote huwa wananifurahisha sana hasa wanapoanza mijadala yao ya infii na tathmini za weekend.
 
Mh huoni aibu kumwambia mwenzio mameno mabaya hivyo, kweli uko mbele dakika tano hapo kilichokuudhi hivyo nini? Utapata vidonda vya tumbo bureee kwa kuchukia.

Mamushka una boifrendi?
 
Swali ni gumu..................na ndiyo maana wengi wanalikwepa swali na kurukia hoja ambazo hata hazijaulizwa..................
 
QUOTE=Burn;kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.

'JUKWAA HILI' lipi mkubwa? Mana hata JF nzima unaweza kuliaddress kama jukwaa hili. Hapo mtoa mada angetaka kuwasilisha ujumbe kwa urahisi angesema tu jukwaa la siasa au jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la michezo n.k. Afu pia ni kweli mkuu akili za binadamu zinatofautiana, kuna wenye akili sana, akili za kati,kuna wajinga sana na wajinga wa kati. Sasa kuanza kuquestion akili za watu sidhani kama unakua unafikiria nje ya box lako. Kwa mtu anaefikiri nje ya box,anapowakilisha mada anapaswa iwakilishe katika hali iliyo nyepesi kwa watu walio katika madaraja yote ya akili kumwelewa. Asante.
 
jina lake na maandishi yake ni vya kike baba mchungaji.

Mkuu wangu unaweza kuwa unakosea sana! Kuna jamaa humu zina majina ya kike na hata maandishi yao. Vivyo hivyo kuna wanawake wana ID za kiume. Unaqeza kuamini kama FMES ni demu?
 
QUOTE=Buchanan;Sure, umeongea point tupu ndugu!

Nashangaa wanaojiita Great Thinkers kushindwa kuelewa kua uzi huu hauna mashiko. Upo too GENERAL katika jukwaa lenye SPECIFIC sub-forums!
 
QUOTE=Burn;kuna mijitu haina akili, mtu ameandika jukwaa hili, halafu pumbavu jingine linakuja kusema eti jukwaa lipi.aaaghrrrr.

'JUKWAA HILI' lipi mkubwa? Mana hata JF nzima unaweza kuliaddress kama jukwaa hili. Hapo mtoa mada angetaka kuwasilisha ujumbe kwa urahisi angesema tu jukwaa la siasa au jukwaa la habari mchanganyiko au jukwaa la michezo n.k. Afu pia ni kweli mkuu akili za binadamu zinatofautiana, kuna wenye akili sana, akili za kati,kuna wajinga sana na wajinga wa kati. Sasa kuanza kuquestion akili za watu sidhani kama unakua unafikiria nje ya box lako. Kwa mtu anaefikiri nje ya box,anapowakilisha mada anapaswa iwakilishe katika hali iliyo nyepesi kwa watu walio katika madaraja yote ya akili kumwelewa. Asante.

Ong`wise kinehe koi wachilagwa?
 
Hivi Chrispine aliendaga wapi? na Geoff je? Mi ananifurahisha Invisible na ban zake
 
Mkuu wangu unaweza kuwa unakosea sana! Kuna jamaa humu zina majina ya kike na hata maandishi yao. Vivyo hivyo kuna wanawake wana ID za kiume. Unaqeza kuamini kama FMES ni demu?

Du FMES wale wazee wa umeme? du hivi siku hizi xspin, fiede80 na nguli wamehamia wapi, maana ulikuwa ukitaka project unawauliza wapwa halafu wanakuambia kama dume jike
 
Wamebadili ID's!
 
Mi nawafurahia wote EXCEPT MS na DAR.............. Hizi mtu (sina uhakika kama ni watu) mbili zinanikera kwa saaaaaaaanaaaaaaaa........
 
QUOTE=Paka mweusi;Ong`wise kinehe koi wachilagwa?

Nalhe whiza bageshi. Ulemanha abanhu ghete Burn balhe na makoye!
 
Back
Top Bottom