Nani anayesimamia mfumo wa afya unaogeuka kuwa biashara?

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Maono yangu yanaonesha kuwa Huduma za afya zinaelekea kuwa biashara na sio huduma.

Nani anayesimamia mabadiliko haya ili yasituathiri miaka michache ijayo?

Sijasema tuwazuie wafanyabiashara kufanya biashara hii lakini ni nani anayehakikisha hatuingii kwenye majanga biashara hii ya tiba kama ilivyo USA?

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Hebu fafanua vizuri kuna tatizo gani? Alafu wahusika huwajui au unatuchora tu?
 
Hebu fafanua vizuri kuna tatizo gani? Alafu wahusika huwajui au unatuchora tu?
UFAFANUZI:
Kuna ongezeko la uanzishwaji wa huduma za afya zenye mrengo wa kibiashara kulinganisha na uanzishwaji wa huduma hizo for the public welfare.

Je tunazisimamia vipi ili afya isiwe biashara bali huduma isiyoumiza walaji?

N.B
MIMI SIO MUUMINI WA AFYA KUWA NI BURE
 
Mfano wa hizo huduma ni zipi?
 


Ni muhimu kuwa na regulator.
Hilo liende zaidi mpaka kwenye elimu. Nako regulator awepo, maana biashara inaendelea kudemka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…