Nani anayetajwa na Mwenyekiti wa CCM Mwanza, Dkt. Diallo kwamba ana faili Hospitali ya Akili Milembe?

Ukiangalia majadiliano hapo juu mbona anayesemwa ni wazi mwendazake JPM? angalia namba 8 na 9 utajua ni jiwe anazungumziwa
 
Pointi namba 4 na 5 Diallo alikuwa anamaanisha nini?
 
Hayo yote ni kwa sababu ya kunyang'anywa mali za CCM mlizokuwa mmepora na kujimilikisha. Sasa mnahaha kutafuta njia ya kuzipora tena. Sasa mnalalama ovyp majizi nyiye.
 
Wanafiki mmeanza kuumbuka
 
Yule mheshimiwa wa mjengoni alisema yeye ana cheti cha milembe
Hapana , hakusema kuwa yeye ana file Mirembe, isipokuwa alikuwa ana quote wale ambao wakiona unawachezea huwa wanasema "usinichezee, mimi nina file Mirembe".
 
7. Swala hapa siyo katiba, swala ni kuchagua watu makini. Unawezaje kuchagua kiongozi katika nafasi kubwa ya uongozi huku ana rekodi ya mirembe? Tuwe makini kuchagua viongozi-Anthony Diallo
Kuwa na faili ni pongezi kwa Hospital yetu kuwa inaweza kutibu. Kwani kuna tatizo.

Anyway
"Nchi yangu inahitaji viongozi vichaa, ili kuongoza welevu"
 
Hapana , hakusema kuwa yeye ana file Mirembe, isipokuwa alikuwa ana quote wale ambao wakiona unawachezea huwa wanasema "usinichezee, mimi nina file Mirembe".
Alisema kuwa ana namba yake pale milembe Kuna video iliwekwa jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…