Nani asiyejua kwamba Ihefu imechoka?

Nani asiyejua kwamba Ihefu imechoka?

Nani asiyejua kwamba ihefu imeshachoka? Acheni kujisahaulisha hata Namungo anaweza ipiga 5

Ukweli usemwe tu ushindi huu wa Yanga hakuna cha kushangaza nan asiyejua kwamba Ihefu imechoka na kuyumba msimu huu hususan siku za karibuni kabisa? Hiki ni kichekesho aisee Nashangaa kuna watu bila aibu wanashangilia Yanga kuifunga Ihefu goli tano, timu iliyovunjika na kusambaratika iliyokuwa Mbeya ikahamia Arusha iliyopita mabadiliko ya wachezaji na viongozi iliyoyumba

Wakongwe wa hizi kazi wala hatushangai maana hata Barcelona ilipoyumba ilipigwa goli 8 na Bayern Munich nan asiyejua?

Manchester United ilipoyumba ilipigwa goli 7 na Liverpool kuna cha kushangaa kwa Ihefu au tunajitoa tu ufahamu na kuwa wepesi kusahau ndugu zangu?
Maneno ya mkosaji tu haya. Tu subiri baada ya azam cjui utasema nini🤣🤣🤣
 
Ihefu ,jkt,kcm,simba ,Ni timu zilizopigwa magoli matano msimu huu na Bado zingjne zaja
 
Back
Top Bottom