Yule atakayefanya maamuzi ya kutundiga daluga wa kwanza ndiye atakayeanzaWana soka napenda kuona maoni yenu kuhusu moto wa magwiji hawa wa soka duniani, yupi kati ya Messi na Ronaldo ataanza kupumzika na kwa sababu zipi maana kila kukicha maajabu yao hayatabiliki
KARIBUNIView attachment 1959078
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hakuna hisia za kuogopana kati yaoYule atakayefanya maamuzi ya kutundiga daluga wa kwanza ndiye atakayeanza
Hata mimi naliona ilo ila Ronaldo umri vipi hauwezi kumuangusha?Messi Hana muda mrefu mpira utamkataa
Umri baba ila mazoezi yanambeba na ni mpambanaji sana [emoji16] hapo ndo utata unaanza atu anapenda ushindani sidhani kama atakubali kuacha ufalme kwa messi kizembeC.Ronaldo
Jamaa kashachoka sana, hata dakika 90 anazicheza kwa mbinde sana.
[emoji16][emoji16][emoji16] Nimeipenda hii labda akishundwa na PSG atakata tamaa na kuachia ngazi, msimu huu tutaona MengiNatabiri Messi ataanza
Nalog off
Akitundika daluga ataenda kuifundisha club ambayo ni mfalme wa vilabu vyote duniani Boca Juniors[emoji16][emoji16][emoji16] Nimeipenda hii labda akishundwa na PSG atakata tamaa na kuachia ngazi, msimu huu tutaona Mengi
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hizi ni tetesi au utabiri [emoji848]Akitundika daluga ataenda kuifundisha club ambayo ni mfalme wa vilabu vyote duniani Boca Juniors
Nalog off
Utabiri wangu binafsi
Mkuu unatabiri kwa puaUtabiri wangu binafsi
Nalog off
Hiyo pua nina uwezo wa kunusa harufu ya keshoMkuu unatabiri kwa pua
Naungana na wewe pia japo swala la umri wa Ronaldo kuna ukakasi miaka 36Messi ataanza. Sababu ni kuwa Ronaldo ni mtu wa mazoezi sana so still anauwezo wa kuendelea ku perform katika level za juu kwa kipindi kirefu zaidi kuliko Messi.
Otherwise labda iwe ni maamuzi binafsi ila ile mwili kuchoka naona Messi atachoka mapema.
[emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo pua nina uwezo wa kunusa harufu ya kesho
Nalog off
Messi atachelewa kustaafu sababu yeye anatumia akili kuliko manguvu, na ana nafas nying za kucheza uwanjani tofauti na kufunga tuu..Naungana na wewe pia japo swala la umri wa Ronaldo kuna ukakasi miaka 36
Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app