Nani ataanza kustaafu soka kati ya Messi na Ronaldo?

Nani ataanza kustaafu soka kati ya Messi na Ronaldo?

lucky_boy

Senior Member
Joined
Aug 9, 2017
Posts
117
Reaction score
231
Wana soka napenda kuona maoni yenu kuhusu moto wa magwiji hawa wa soka duniani, yupi kati ya Messi na Ronaldo ataanza kupumzika na kwa sababu zipi maana kila kukicha maajabu yao hayatabiliki.

KARIBUNI

20211001_100145.jpg

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Messi ataanza. Sababu ni kuwa Ronaldo ni mtu wa mazoezi sana so still anauwezo wa kuendelea ku perform katika level za juu kwa kipindi kirefu zaidi kuliko Messi.

Otherwise labda iwe ni maamuzi binafsi ila ile mwili kuchoka naona Messi atachoka mapema.
 
Naungana na wewe pia japo swala la umri wa Ronaldo kuna ukakasi miaka 36

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Ataanza Ronaldo kwakua ni mkubwa kiumri ukilinganisha na Messi
 
Messi bado sana kustaafu, ogopa mtu wa umri ule kuchukua MAN OF THE TOURNAMENT mbele ya vitoto kama paredes... Maana yake ni kwamba ana muda mwingi wa kuwepo uwanjani hata utakapofikia umri (37~miaka mitatu toka sasa) wa kushindwa tena kudrible, atabaki kwenye boksi, kitu ambacho kitampeleka mpaka early 40's... Ronaldo alianza mara tu alipofika miaka 32 na anaonesha keshachoka tayari
 
Back
Top Bottom