pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 508
- 788
Wadau wa soka tujuzane kwa hili.
Kwa upande wangu naona mwenye possibility kubwa ya kuchukua de or atakuwa messi kwa mambo aliofanya.
Kwanza amesaidia timu yake kufika nusu fainali,pili amesasidia klabu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya Spain na kuwa mfungaji bora wa lingi kwa difference ya magori 10 na kwendelea.tatu amecheza kiwango cha juu sana ukilinganisha na ronald,mwisho kabisa ni mfungaji bora UEFA na ametoa assists nyingi kuzidi mchezaji yeyote yule.
Mimi ni timu Ronald ila messi kwa upande wangu amecheza vizuri sana msimu huu.
No barca no messi.