Nani atachukua balon de or kati ya "messi" na "Ronald"

pet geo pet

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2018
Posts
508
Reaction score
788
Wadau wa soka tujuzane kwa hili.
Kwa upande wangu naona mwenye possibility kubwa ya kuchukua de or atakuwa messi kwa mambo aliofanya.

Kwanza amesaidia timu yake kufika nusu fainali,pili amesasidia klabu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya Spain na kuwa mfungaji bora wa lingi kwa difference ya magori 10 na kwendelea.tatu amecheza kiwango cha juu sana ukilinganisha na ronald,mwisho kabisa ni mfungaji bora UEFA na ametoa assists nyingi kuzidi mchezaji yeyote yule.

Mimi ni timu Ronald ila messi kwa upande wangu amecheza vizuri sana msimu huu.

No barca no messi.
 
VVD kama Liverpool itachukua UEFA.

Messi kama Liverpool haitachukua UEFA.
 
Manne akifunga siku ya final CL,Senegal wakichukua AFCON Manne atabeba ballon d'or na atakuwa mchezaji wa pili kutoka Africa baada ya George Weah.
Mkuu unatumia vigezo gani mpka unasema mane atachukua?
 
Hivi hizo tuzo ni kwaajili ya washambuliaji tuu? kama ni kwa wote sio washambuliaji tuu basi VAN DIJK anastahili
 
Wadau wa soka tujuzane kwa hili.
Kwa upande wangu naona mwenye possibility kubwa ya kuchukua de or atakuwa messi kwa mambo aliofanya.

Kwanza amesaidia timu yake kufika nusu fainali,pili amesasidia klabu yake kuchukua ubingwa wa ligi ya Spain na kuwa mfungaji bora wa lingi kwa difference ya magori 10 na kwendelea.tatu amecheza kiwango cha juu sana ukilinganisha na ronald,mwisho kabisa ni mfungaji bora UEFA na ametoa assists nyingi kuzidi mchezaji yeyote yule.

Mimi ni timu Ronald ila messi kwa upande wangu amecheza vizuri sana msimu huu.

No barca no messi.
Iko wazi ni Messi!
 
Back
Top Bottom