Nani atachukua ubingwa WC 2018 Russia

Nani atachukua ubingwa WC 2018 Russia

Habari za majukumu wakuu
Kama Kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza miaka yote kwenye msimu wa Kombe la Dunia nilikuwa nashangiliaga
1.UHOLANZI au
2.KOASHIA

Ikiwa timu za Afrika zikiwa zimetoka naomba kufahamu na kwenu wenzangu........
 
Mashabiki wa Messi bhana

Mnadhani WC ni Copa Del Rey au La Liga hadi ichukuliwe kwa nguvu ya mtu mmoja.????

Hata UCL yenyewe timu yake ikiwa hovyo kwa nguvu zake mwemyewe anashindwa kubeba,alafu mnaongelea WC.??

Mliona mechi za kufuzu.?
Kama mliziona basi semeni tu kuwa HAITABIRIKI..
 
Hakuna anaeshabikia mchezaji hapa,na mawazo yako tu, tunashabikia whole team....Argentina imesheheni wachezaji walioenda shule ukilinganisha na timu unazozijua wewe_basi tu hawanaga bahati

  • Thanks
Reactions: PNC
Mashabiki wa Messi bhana

Mnadhani WC ni Copa Del Rey au La Liga hadi ichukuliwe kwa nguvu ya mtu mmoja.????

Hata UCL yenyewe timu yake ikiwa hovyo kwa nguvu zake mwemyewe anashindwa kubeba,alafu mnaongelea WC.??

Mliona mechi za kufuzu.?
Kama mliziona basi semeni tu kuwa HAITABIRIKI..
Kafie mbali...
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom