Nani atafunga paka Kengele - Ndani ya CCM si shwari tena

Nani atafunga paka Kengele - Ndani ya CCM si shwari tena

Uchunguzi uanzishwe juu ya wale wahamiaji...Je ilikuwa dhamira yao au kuna kilichojificha? kama kulikuwa na blackmailing wasamehewe na warudishiwe fikra na uhuru wao waamue kwa fikra zao sasa...
Kwahiyo walipokwa Fikra?
Dunia kweli Uwanja wa fujo.😛
 
Kujipendekeza sasa basi,ukinyonga ukinyonga sasa basi tunaye Mama.
Hakika Mama mwenye hofu ya Mungu Mama mwenye roho ya binaadamu!
Mama mwenye uchungu wa kuzaa!
Mama mwenye huruma kwa kutambua uchungu wa kuzaa!
Hakika hakuna kama Mama!
 
Si umesema ccm ya sasa hivi imetuia labda wahamiaji au siyo wewe?
Kavurugwa huyo na yeye aombe msamaha kabla mauti haija mkuta kufutia matendo yao ya utekaji na unyongaji na udumbulizaji watu kwenye vina virefu vya bahari wakiwa kwenye sandarusi!
 
Kwa sasa CCM imetulia sana!

Labda useme wale wahamiaji ndio kidogo wana mashaka mashaka!
Ukimuona mzee Yusuph makamba amenyamaza,ujue hali sio shwari.

2. Ukimuona Nape amepiga kimya ujue kuna jambo.

3. Ukimuona vomred Kijana kapiga kimya ujue kuna jambo.

Niwakumbushe wanaccm, kanda ya ziwa mkiitelekeza,itakuwa ndio Mwanzo wa kifo cha ccm. Yule wa darasa la saba msimdharau, anakijua chama ukanda ule.

Niwakumbushe pia makamu wa Rais asipotokea ukanda ule imekula kwenu.nimewaibia simbi mahali .
 
Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Kwa kuwa hauna ushahidi wowote ulio wasilisha bac haya yote ni POROJO
 
Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Lamli chonganishi.

Shughulikia kwanza chama chako ambacho kila mtu sasa ni msemaji wa chama.

Kiufupi viongozi wapo tu kutimzia wajibu.
 
Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Wenye ndoto ya urais 2025 imekula kwao maana Mama Samia lazima achukue form na hakuna atakayechukua mwingine zaidi ya yeye huo ndio UTAMADUNI wa CCM.
 
Ilipasuka lini?
Uanze sasa kushindia Mapindigesi na ulanzi bwashee maana kuanzia sasa, wewe na wenzako mtakula kwa jasho! Na siyo kwa mteremko kama zamani.

Zamani mliishi kwa buku 7, ila kwa sasa mtaishi kwa kufanya vibarua mtaani! Mwenzako wa uvccm Heri James amesha jisalimisha kwa mama! Bado wewe na kundi lako la akina Ole Sabaya, Jerry Muro na Albert Chalamila.
 
Watanyooka tu walifikiri majungu ni mtaji,ache waisome namba.
 
Wenye ndoto ya urais 2025 imekula kwao maana Mama Samia lazima achukue form na hakuna atakayechukua mwingine zaidi ya yeye huo ndio UTAMADUNI wa CCM.
Wakae mbali kabisa na Mama!
Mama mwenye roho safi yake isio na makandokando
Mama mwenye kujua uchungu na maumivu ya mtoto!
Screenshot_20210328_195127_com.android.gallery3d.jpg
 
Huu sasa ndiyo wakati wa kujipendekeza kuliko wakati mwingine wowote ule, - wazee wa nyungu mpo???
 
Wakae mbali kabisa na Mama!
Mama mwenye roho safi yake isio na makandokando
Mama mwenye kujua uchungu na maumivu ya mtoto!
View attachment 1737607
yaani waombe tu Mama asiruhusu uchunguzi huru kuhusu tukio la Lissu - kuna mijitu itaabika milele !!

Naona kwa mbali Lissu alipata haki zake zote za kustaafu Ubunge na Hela ya Matibabu yake !! Kweli Mungu hajawahi kushindwa kamwe.
 
JPM
Tunatishana Sana!!
Wengine Siyo Waandishi Wa Habari Utawasikia Vigogo Wafa. 🤔😇🙂☺😑😶😐🙄
 
yaani waombe tu Mama asiruhusu uchunguzi huru kuhusu tukio la Lissu - kuna mijitu itaabika milele !!

Naona kwa mbali Lissu akipata haki zake zote za kustaafu Ubunge na Hela ya Matibabu yake !! Kweli Mungu hajawahi kushindwa kamwe.
Mungu ni Mungu tu mkuu hakuna aliye wahi kudhulumu nafsi ya mtu ambaye hana makosa akabaki salama yani wana wafunga watu kwenye viroba watu, mtu akiwa hai 😭😭 pengine akataka kujitetea lakini wapi hawa kusikilizwa 😭
Kamwe hawata baki salama.

Mungu hachoki maana sio mwanaadamu wata vuna matendo yao!
 
Back
Top Bottom