Kwahiyo walipokwa Fikra?Uchunguzi uanzishwe juu ya wale wahamiaji...Je ilikuwa dhamira yao au kuna kilichojificha? kama kulikuwa na blackmailing wasamehewe na warudishiwe fikra na uhuru wao waamue kwa fikra zao sasa...
Hakika Mama mwenye hofu ya Mungu Mama mwenye roho ya binaadamu!Kujipendekeza sasa basi,ukinyonga ukinyonga sasa basi tunaye Mama.
Kwani Chadema bado ipo ?Unaonaje ukijikita na kuijenga cdm ukaachana na ccm ?
Kavurugwa huyo na yeye aombe msamaha kabla mauti haija mkuta kufutia matendo yao ya utekaji na unyongaji na udumbulizaji watu kwenye vina virefu vya bahari wakiwa kwenye sandarusi!Si umesema ccm ya sasa hivi imetuia labda wahamiaji au siyo wewe?
Ukimuona mzee Yusuph makamba amenyamaza,ujue hali sio shwari.Kwa sasa CCM imetulia sana!
Labda useme wale wahamiaji ndio kidogo wana mashaka mashaka!
Ukitaka kujua ipo mbipu mwenyekiti waoKwani Chadema bado ipo ?
Kwa kuwa hauna ushahidi wowote ulio wasilisha bac haya yote ni POROJONdani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Lamli chonganishi.Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Wenye ndoto ya urais 2025 imekula kwao maana Mama Samia lazima achukue form na hakuna atakayechukua mwingine zaidi ya yeye huo ndio UTAMADUNI wa CCM.Ndani ya uongozi wa juu wa CCM hali si shwari tena,kumetibuka vumbi hawaonani na kila mmoja anamtazama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Unguja...
Mama Hillary clintonWenye ndoto ya urais 2025 imekula kwao maana Mama Samia lazima achukue form na hakuna atakayechukua mwingine zaidi ya yeye huo ndio UTAMADUNI wa CCM.
Uanze sasa kushindia Mapindigesi na ulanzi bwashee maana kuanzia sasa, wewe na wenzako mtakula kwa jasho! Na siyo kwa mteremko kama zamani.Ilipasuka lini?
Watanyooka tu walifikiri majungu ni mtaji,ache waisome namba.Uanze sasa kushindia Mapindigesi na ulanzi bwashee maana kuanzia sasa, wewe na wenzako mtakula kwa jasho! Na siyo kwa mteremko kama zamani.
Zamani mliishi kwa buku 7, ila kwa sasa mtaishi kwa kufanya vibarua mtaani! Mwenzako wa uvccm Heri James amesha jisalimisha kwa mama! Bado wewe na kundi lako la akina Ole Sabaya, Jerry Muro na Albert Chalamila.
Wakae mbali kabisa na Mama!Wenye ndoto ya urais 2025 imekula kwao maana Mama Samia lazima achukue form na hakuna atakayechukua mwingine zaidi ya yeye huo ndio UTAMADUNI wa CCM.
yaani waombe tu Mama asiruhusu uchunguzi huru kuhusu tukio la Lissu - kuna mijitu itaabika milele !!Wakae mbali kabisa na Mama!
Mama mwenye roho safi yake isio na makandokando
Mama mwenye kujua uchungu na maumivu ya mtoto!
View attachment 1737607
Mungu ni Mungu tu mkuu hakuna aliye wahi kudhulumu nafsi ya mtu ambaye hana makosa akabaki salama yani wana wafunga watu kwenye viroba watu, mtu akiwa hai ππ pengine akataka kujitetea lakini wapi hawa kusikilizwa πyaani waombe tu Mama asiruhusu uchunguzi huru kuhusu tukio la Lissu - kuna mijitu itaabika milele !!
Naona kwa mbali Lissu akipata haki zake zote za kustaafu Ubunge na Hela ya Matibabu yake !! Kweli Mungu hajawahi kushindwa kamwe.