Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

Maandishi meeengi ila ni ushudu tu.
 
Mpango ni mwadilifu, mchapakazi, mnyenyekevu na ana hofu ya Mungu. Tunahitaji viongozi wa aina hii.
Mpango anakera kinoma.


Ana kisauti fulani Cha kinafiki na unyenyekevu feki muda wote.

Hajawahi kuwa na legacy Wala kufanya Jambo la maana.

Watu wa Kigoma ni MABINGWA wa uchawa, nadhani ndicho kikichompa hiyo nafasi
 
Kuna yule jamaa alikua anapima samaki Kwa ruler [emoji423] being sukuma gang and pro Magu nadhani atamnadi vilivyo mama na kumuongezea kura

Nje ya mada : mama atakabiliwa na upinzani mkali sana labda a print form moja kama mwendazake
Hahaha Bashiru bhana aliprint kamoja tu
 
Huu ni mkuysanyiko wa pumba tu kuchosha watu kuzisoma. Kwa kweli nimefika robo nimeacha. Jifunze ku sumnarise
 
Tumeshatoka huko Mzee, tunataka watu wenye weledi wa kutosha katika top layer ya uongozi wa nchi ili kuweza kufanya maamuzi yenye tija kwa Taifa na sio kung'ang'ania sijui mvuto au anajua sana siasa hao ndiyo wanaotuchelewesha kama Taifa kusonga mbele.
Kiongozi anayetegemea kushauriwa pekee wakati kichwani hana uelewa wa kutosha juu ya anachoshauriwa ni rahisi kufanyiwa hila katika uongozi wake kwa kupotoshwa na washauri wake, lakini kama kiongozi tayari ana utaalamu wa kutosha juu ya kile anachoshauriwa maoni anayopewa yatamwongezea kuboresha tu maamuzi anayoenda kuyafanya.
Nchi zilizoendelea hawatangulizi siasa kisha national interests bali maslahi ya Taifa hutangulia kwanza kisha siasa baadaye.
Wanasiasa wengi hutegemea ujinga wa wananchi walio wengi ili kuwaburuza, lakini kama Taifa tukiweka maslahi ya Taifa mbele tunaweza kuweka watu wanaoweza kutuvusha kwenda hatua tunayoitaka na tukaitumia vyema "System" katika kuwarejesha madarakani watu wenye maono wakamilishe kazi walioianza kuliko kukumbatia wanasiasa ambao wanajali maslahi ya matumbo yao kabla ya maslahi ya Taifa.
 
Hivi huwa shuleni mlienda kusomea ujinga mtupu,kwanini usihakiki habari yako kwa ufupi na mantiki ukaelewka?,unaleta hadith za abunuasi
Lengo ni makamu wa rais atakaye mfaa Samia,Mpango kwa akili yako kiduchu hafai
 
Umeandika mengi ila ni chuki tu nimeiyona huna hoja hata kidogo
 
Nect VP ni Membe B.
 
Samia ameanza kudoda amuachie Zuhura Yunus ila asijisahau tu kwenye speech zake za kulihutubia Taifa asije kuanza na "Hii ni London..." 😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…