Nani atakuwa Mgombea Mwenza wa Samia mwaka 2025?

Makosa ya SSH ya kiufundi siyo moja. Hili linatokana na sababu ya binadamu kutokuwa na uwezo mkubwa katika kila fani na kutotambua hilo katika nafsi yako. Ukilitambua hilo utachagua
wasaidizi wa kufidia mapungufu yako;na siyo ndugu, marafiki, marafiki wa rafiki zao. Hapo ndipo makosa ya kiufundi yanapoanzia. Kama uchaguzi wa mwaka 2025 hautakuwa ule wa mtindo wa 2020, itategemea tu upinzani wataweka wagombea gani wanaojulikana kwa uwezo wa utawala, siyo kuwabeba kwa matangazo ya biashara
(commercial adverts), hasa kwa Tannzania Bara. Huu ni ushauri wangu wa bure lakini wa dhati kabisa kwa CCM na upinzani. SSH, kwa kipindi kilichobaki,atahitaji utenndaji ambao unaonesha tija na ustadi kuanzia kwenye Ofisi yake binafsi mpaka Serikali nzima; na siyo kutegemea matangazo, mapambio na nyimbo za wasanii maarufu. Ukitaka kushuhudia hili, mwandikie barua yenye tatizo la dhati kabisa, Mh. SSH uone utajibiwa lini, kama utajibiwa, au kama barua inaweza kujulikana ilipo ukifuatilia. Hayo ni nyongeza tu ya baadhi ya matatizo ya kiufundi. Tukiambizana ukweli ndipo tunapoijenga Tanzania yetu.
 
Mkuu umeongea mambo mazito sana.Asiyejua Dunia inavyoendeshwa hata kuelekea,lakini mimi nimekuelewa.
 
Mkuu Mkwavinyika, Mkwawa mnyalukoro , thanks for good analysis.

Ni kweli iwapo Samia atagombea 2025, then it's true Dr. Mpango will be replaced na a running mate from ile Kanda determinant ya kura za urais wa JMT!.
Naomba niishie hapa!.
P
 
Mpango ni mwadilifu, mchapakazi, mnyenyekevu na ana hofu ya Mungu. Tunahitaji viongozi wa aina hii.
Naongezea hakuka Rais anayependa Makamu much know, chunguza Makamu wa nchi zoote wako obedient kwa President,

Hawa uliowataja wana hulka ya mfumo dume
 
Uchambuzi wako ni mzuri mno lakini ulichoongelea hapa ni jukumu kubwa mno ambalo haliwezi kuwa la Mama peke yake bali la CCM nzima akiwemo Mama, Dr. Mpango na PM mwenyewe. Hawa ndiyo wanatakiwa kwa ujumla wao kujadili nani anatakiwa kuwa next; huku wakimshirikisha yule ambaye yupo sasa

Ila kuna uwezekano mkubwa sana kwamba Mungu bado anamhitaji sana Membe kwenye nafasi za uongozi wa nchi hii
 
Ataendelea kuwa mhe Mpango!!
 
The Presidency is a jealous Institution, Ivo Selection ya Makamu inafanyika kwa kuangalia Mambo Mengi ili Kusmooth Nguvu ya Rais, Makamu akiwa Much Know nae anakera sana
 
2025 Hakuna uchaguzi,CDM hawatasimamisha mgombea na watarudishiwa majimbo yao. DJ kashazima muziki wewe bado unakatika😂😂😂😂
 

Membe si anatafuta utajiri kwa Musiba? Hilo linamtosha kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…