Fredrick Nwaka
Member
- Jul 8, 2013
- 53
- 75
Pilikapilika za uchaguzi mkuu wa Zanzibar zinaonekana kupamba moto. Rais wa sasa wa visiwa hivyo Dr. Ali Mohammed Shein anamaliza muda wake baada ya kuongoza vipindi viwili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.
Wengi wanatajwa kuwania urais wa visiwa hivyo kupitia Chama cha Mapinduzi akiwemo Shmsi Vuai Nahodha, Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi, Balozi Ali Karume, Balozi Amina Salum Ali na wengine.
Je nani anaweza kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?
Sent using Jamii Forums mobile app