Uchaguzi 2020 Nani atakuwa mgombea wa CCM Zanzibar?

Uchaguzi 2020 Nani atakuwa mgombea wa CCM Zanzibar?

Hivi kuna nchi bara hili bado hazijapata Uhuru?
Zanzibar ilipokwa uhuru punde tu baada ya kuupata, Sahara ya magharibi bado inahangaikia uhuru wake kutoka Morocco, Anglophone Cameroon ina struggle ndani ya Cameroon.
 
Ni yule anayeukubali muungano Ova!
Ni kweli.mkataa muungano yeyote hashiki uraisi Zanzibar wala muungano Niko tayari kuiba kura kuhakikisha mpinga muungano hashiki uraisi

Ndio maana Seif Sharif hamad hawezi pewa hata siku moja lowasa naye alishindwa kupewa uraisi baada ya kujiunga na migaidi mikataa muungano ya chadema

Mtu asiyetaka muungano au yuko chama cha wakataaa muungano uraisi asahau
 
Yeyote kikubwa awe Mzalendo na kulinda mslahi ya Zanzibar na Tanzania

Asitumike na Mabeberu
Umri pia zaidi ya 60 ni too much !!!! Wengi wanakuwa wagonjwa vikongwe .Angalia vikongwe wengi waliogombea uraisi 2015 akina lowasa,Mohammed Bilal,Salim Ahmed Salim, wamechoka hoi wanatembea wanatetemeka tu wangeshinda uraisi tungekuwa na maraisi Wa kubebwa mabegani kuwapandisha majukwaani wahutubie wakimaliza unawabeba tena kuwashusha .Mtu kama kafika 60 akalee wajukuu inatosha asigombee uraisi Zanzibar
 
Za mwizi khamsin
Ni kweli.mkataa muungano yeyote hashiki uraisi Zanzibar wala muungano Niko tayari kuiba kura kuhakikisha mpinga muungano hashiki uraisi

Ndio maana Seif Sharif hamad hawezi pewa hata siku moja lowasa naye alishindwa kupewa uraisi baada ya kujiunga na migaidi mikataa muungano ya chadema

Mtu asiyetaka muungano au yuko chama cha wakataaa muungano uraisi asahau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni Mtu Hata Mmoja Mwenye Sifa Urais Wa Zanzibar Wanajigawiaga Tu Zamu Kwa Zamu Sifa Hakuna
 
Pilikapilika za uchaguzi mkuu wa Zanzibar zinaonekana kupamba moto. Rais wa sasa wa visiwa hivyo Dr. Ali Mohammed Shein anamaliza muda wake baada ya kuongoza vipindi viwili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.

Wengi wanatajwa kuwania urais wa visiwa hivyo kupitia Chama cha Mapinduzi akiwemo Shmsi Vuai Nahodha, Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi, Balozi Ali Karume, Balozi Amina Salum Ali na wengine.

Je nani anaweza kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
HM, alafu 2025 anakuja Bara kuchukua wa Muungano
 
Back
Top Bottom