Uchaguzi 2020 Nani atakuwa mgombea wa CCM Zanzibar?

Joined
Jul 8, 2013
Posts
53
Reaction score
75
Pilikapilika za uchaguzi mkuu wa Zanzibar zinaonekana kupamba moto. Rais wa sasa wa visiwa hivyo Dr. Ali Mohammed Shein anamaliza muda wake baada ya kuongoza vipindi viwili kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar.

Wengi wanatajwa kuwania urais wa visiwa hivyo kupitia Chama cha Mapinduzi akiwemo Shmsi Vuai Nahodha, Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi, Balozi Ali Karume, Balozi Amina Salum Ali na wengine.

Je nani anaweza kuwa mgombea wa CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama Samia Suluhu na Dr Hussein Mwinyi mmojawapo.
 
Wazanzibar wana haki ya kuchagua wanayempenda Cc dega
 
Husein mwinyi,japo CCM Tanganyika ndo huamua nani awe raisi wa Zenj
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…