Nani atakuwa Rais kama Trump akienda jela?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.

Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?

Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.

Natanguliza shukrani
 
Nini kwenda jela?

Mbona wetu alikufa kabisa na hatukukosa rais?

JD VANCE hayupo kimasihara pale
 
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani .
Rais haweza kushtakiwa akiwa madarakani, kesi / hukumu itasubiri amalize muda wake
 
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani .
Wee unadhani wamarekani ni ndezi kama wewe? Kwahiyo unajifanya unajua sheria au!
 
Yani mtu awe backed up na the man himself Elon halafu ashindwe na Eminem
Pale hakuna kesi the us now has a real president in the house
 
kesi zote zimefutwa mzee. zimebaki kama mbili sijui tatu. the rest zimefutwa they can't prosicute the sitting president.

doj atafukuzwa kazi kabla ya trump kuwa raisi
Una hoja, mkuu. Ila DOJ kufukuzwa kazi hapo, umetufunga kamba. Kwani kirefu cha DOJ ni nini?
 
Tabia za utotoni za trump na Tundu LISU zinafanana(akili nyingi na utata kuamini wanachoamini ndo sahihi( JIULiZe kwa nn aliazisha mtandao wake binafsi wa truth

(2)serikali kuwaandalia KESI za makusudi kawaida tu.... Ila ushindi kwao ni lazima SHIDA kwa LISu nchi yake ni janga kwenye Sheria za uchaguz
 
Acha kumfananisha Trump na upuuzi.
 
Back
Top Bottom