MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Rais haweza kushtakiwa akiwa madarakani, kesi / hukumu itasubiri amalize muda wakeBwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani .
Wee unadhani wamarekani ni ndezi kama wewe? Kwahiyo unajifanya unajua sheria au!Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani.
Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela?
Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi?
Wataalam msaada hapo.
Natanguliza shukrani .
Una hoja, mkuu. Ila DOJ kufukuzwa kazi hapo, umetufunga kamba. Kwani kirefu cha DOJ ni nini?kesi zote zimefutwa mzee. zimebaki kama mbili sijui tatu. the rest zimefutwa they can't prosicute the sitting president.
doj atafukuzwa kazi kabla ya trump kuwa raisi
Ila mbona mdau kauliza tu swali anataka kujua. Kama ungejua jibu ungemjibu tu au kama hujui ungekaa kimya tu. Hakukuwa na haja ya kumuita ndezi na kumzodoa.Wee unadhani wamarekani ni ndezi kama wewe? Kwahiyo unajifanya unajua sheria au!
Ukiona hapa unaona pana raisi?Nini kwenda jela?
Mbona wetu alikufa kabisa na hatukukosa rais?
JD VANCE hayupo kimasihara pale
Acha kumfananisha Trump na upuuzi.Tabia za utotoni za trump na Tundu LISU zinafanana(akili nyingi na utata kuamini wanachoamini ndo sahihi( JIULiZe kwa nn aliazisha mtandao wake binafsi wa truth
(2)serikali kuwaandalia KESI za makusudi kawaida tu.... Ila ushindi kwao ni lazima SHIDA kwa LISu nchi yake ni janga kwenye Sheria za uchaguz