Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heb eleza uzuri hoja yako!! kwani ukiwa msomi katika level ya DhD unaweza kuongoza?asante kaka hapa mtiani mtupu...... dr shein ni dr siye na kikwazo nadhani hata GPA yake ni yenye mvuto pale, kwanini ashindwe. hata mimi najiuliza kwa nini dr gharib bilali anapambana nae ingawa nae ni msomi lakini pana kitu hapa