Nani atathubutu kununua jengo la Yanga?

Nani atathubutu kununua jengo la Yanga?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kichaa peke yake ndiye anaeweza kupoteza hela zake kununua jengo la Yanga au Simba kwenye mnada.

Majengo yenyewe kuna mtu kawapa tu, Maana hata hati original hazijulikani nani anazo.
 
Back
Top Bottom