and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Huenda wataenda wale wenyeviti 17......Kama mjuavyo Tanganyika ni moja wa zwaanzilishi wa SADC. Nani mwakilishi wetu huko 46th SADC Summit, Durban? Je tunaenda na Ndege gani Boeing 787? Airbis 320?
Asante Studio wale inawafaa Boeing 787Huenda wataenda wale wenyeviti 17......
wa vyama rafiki.
Tutamuagiza hata Lile li pumba letu la mageuzi.Kama mjuavyo Tanganyika ni moja wa zwaanzilishi wa SADC. Nani mwakilishi wetu huko 46th SADC Summit, Durban? Je tunaenda na Ndege gani Boeing 787? Airbis 320?
Le Profeseri?Tutamuagiza hata Lile li pumba letu la mageuzi.
NdioLe Profeseri?