Nani baba wa mtoto?

mmh wawili ndani ya siku mbili? wadada mna ujasiri kushinda wa CHUI. hivi huon hata kinyaa unagongwa na huyu zen huyu tena.

kwa hili usijaji wadada peke yao hata wakaka mnafanya, hujasikia mtu anafanya kwny gari na changu then anaenda kwa mke wake anafanya.... ni jinsia zote zimeharibikiwa kiakili nowdays ndugu.
 
Du hata mm naogopa naomba iwe SIRI ya huyo MWANAMKE kwani yeye anajua Rijali ni nani na ni nani aliyeshusha mzigo mzito akauweka kunakohusika
Kwani kubeba wanaume wawili alikuwa na maana yake
asubiri siku za Clinic akapime na UKIMWI hapo ataweza kuwatofautisha na hapo
Halafu mwambie aaaache kabisa kutegesha Goli lake namna hiyo, achague mmoja tu wengine watumie Kinga
 
Huyo mtoto ni wa mwanamke malaya.
Huwezi ukawa unalalwa lalwa hovyo kama jibwa koko
 
Kuchangia suala la zinaa najisikia kichefuchefuuu!
Lakini kimaadili mtoto ni wako mama...hakuna kati ya hao mwenye ubavu wa kudai kuwa ni wake (hata km atafanana na mmoja wao) kwa vile upatikanaji wake ni nje ya maadili ya dini.
Lakini anaweza kujibaraguza kwa kumbambikiza mmoja wao, ili angalau apate pa kuanzia, japo kwa hapa duniani.
 
mh! we mkali aisee!!!
Wote ni baba. New research is suggesting that hata baada ya mtoto kuundwa bado sperms zinachangia uundwaji. Tena ahakikishe anaendelea kulala na posaible fathers wote manake dna ya mguuni inaweza kuwa tofauti na ya masikio kutegemeana na muundaji.
 
mmh wawili ndani ya siku mbili? wadada mna ujasiri kushinda wa CHUI. hivi huon hata kinyaa unagongwa na huyu zen huyu tena.

Ish!! Mbona huyo cha mtoto. Kuna wengine wanabanduliwa na wamaume wa2 tena ndani ya saa 1. Chezea wanawake wewe.
 

Dah! Mdada anajua kuwapanga utafikiri anapanga vipindi vya lecture, mbaya zaidi anaonekana hatumii condom. Kweli tanzania bila UKIMWI haiwezekani. Mi nadhani kabla ya kujua baba wa mtoto ni vema ujue HIV status yako ili kama +ve uanze kufikiria kumkinga mtoto wako hilo la baba ni nani litafuata baadae.

Sio afya kuwa na wanaume wengi (siwaiti wapenzi maana mapenzi hayapo hapo), tafadhali fanya uamuzi sahihi! Sema nao ili ujue nani ana future na wewe.


Nkunya
 
wajinga ndio waliwao hapo lazima kuna atayebebeshwa zingo sio lake
 

Mwambie aache tabia ya kubadili wanaume kama anavyobadili nguo.
Aache kuwapanga wanaume kama mshikaki kwenye boda-boda..!!
Hayo maswali yote yasingetokea...
Khaaaa...!!
 
umalaya ndo faida zake hizo.pmbaff
 
Salama kondom!hazitumiki ipasavyo!wote wawili ni damu moko hiyo sister,kapime na HIV
 
bibi huyo mtoto niwa mwanaume ulio zini naye tarehe 30 no matter what labda awe hanisi. huyo wa tarehe 31 na tareje1 amechangia kucha tu.
 
Mchezo mchafu amecheza hapo awe makin ktk maamuz mtoto akifanana na mtu mwngne wakat alopewa mtoto ni mtu mwingne hyo ni tatizo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…