Nani baba wa mtoto?

Nani baba wa mtoto?

preciouse

Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
46
Reaction score
12
Habari wana Jf.

Kuna mtu ameniuliza swali limenishinda naombeni msaada wenu, alipata period yake tarehe 16 akasex na boyfriend wake tarehe 30 na 31 mchana, then usiku wa tarehe 31 akakutana na mwanamme wake mwingine wakalala wote hivyo walisex tarehe 31 usiku na tarehe 1 asubuhi.

amepima ana ujauzito kichwa kinamuuma nani baba wa mtoto?
 
Hapo ni mpaka mtoto akapime dna. Because when you have sex you dont get pregnant instantly. Since she had sex with both men with in two days then there is a 50 50 chance on both men kuwa baba. So as i said atabidi asubiri mtoto azaliwe then apimwe dna.
 
Wote ni baba. New research is suggesting that hata baada ya mtoto kuundwa bado sperms zinachangia uundwaji. Tena ahakikishe anaendelea kulala na posaible fathers wote manake dna ya mguuni inaweza kuwa tofauti na ya masikio kutegemeana na muundaji.
 
kha hiyo ndio kazi katika maisha ilinishinda kuwa na wanaume wawili ???
 
wa tarehe 30 akiassume yai liliovulate tar 30 na mbegu za mwanaume ni nzima na za kutosha kutungisha mimba
 
aiseee....ilete huku JF Doctor tukupe nondo
 
Kwa kuwa hajaolewa asubiri mtoto azaliwe ndo apime dna. akubali matokeo na asiongeze dhambi ya kumbambika mtu mtoto maana hayo ndio matunda ya dhambi zake.
 
mmh wawili ndani ya siku mbili? wadada mna ujasiri kushinda wa CHUI. hivi huon hata kinyaa unagongwa na huyu zen huyu tena.
 
Eh shughuli
Hata sijui baba atakua ni nani
Mkapime DNA baada ya kujifungua na asirudie tena huo mchezo
 
Hapa yai lili ovulate tarehe 29, sasa aliyewahi kufanya mapenzi ndo anachance kubwa ya kuwa baba wa mtoto kama tu baba huyo sperm zake ni matured. Lakini na wa pili naye ananafasi ya kuwa baba pia. Coz yai linaishi up to 72hrs. Kwa mimi ningekuwa binti mume wa kwanza ndo baba wa mtoto
 
Wote ni baba. New research is suggesting that hata baada ya mtoto kuundwa bado sperms zinachangia uundwaji. Tena ahakikishe anaendelea kulala na posaible fathers wote manake dna ya mguuni inaweza kuwa tofauti na ya masikio kutegemeana na muundaji.

mbavu zangu jamaniiii
 
Hapa yai lili ovulate tarehe 29, sasa aliyewahi kufanya mapenzi ndo anachance kubwa ya kuwa baba wa mtoto kama tu baba huyo sperm zake ni matured. Lakini na wa pili naye ananafasi ya kuwa baba pia. Coz yai linaishi up to 72hrs. Kwa mimi ningekuwa binti mume wa kwanza ndo baba wa mtoto

Huo ndo mtihani, maana anadai ameshafanya tarehe kama hizo mara nyingi na boyfriend wake hakunasa. that's why anaogopa kumtaarifu akihofia kumbambikia.
 
jamani, Mungu na atusamehe kwa kweli, kwanini mwanamke kujizalilisha hivyo! sina hata coment!
 
Back
Top Bottom