Nani bingwa wa kiswa-english kati ya hawa mastaa wa kike bongo?!

Nani bingwa wa kiswa-english kati ya hawa mastaa wa kike bongo?!

youngdonats18

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2015
Posts
685
Reaction score
443
Nimework hard katika kusikiliza interviewz na vipindi mbalimbali via tvshows, now nahitaji mchango wenu kujua ,which one is the best kati ya Wema Sepetu(in my shoes) na Vanessa mdee(the sporahshow).

Karibuni
 
vanessa kakulia nje karudi bongo mtu mzima lazima agonge swanglish, ila hawa kina naniliu....
 
Vanesa tenaaa, mbona hyo inajulkana tu hahhh!! Huyo bint ni kiboko
 
wema akasome swanglish tena, a ah ko unataka team ziingilie kati..?!
 
wema akasome swanglish tena, aah!! ko unataka team ziingilie kati..?!
 
MBS zimeisha nin mbona kama ulitaka kuanzisha vulumai ,better ukamalizia..?!
 
RAIA, shilole tusimuweke eneo hili,labda baada ya miaka kadhaa iv..language haitendei khaki..?!
 
shilole anatisha sana hadi mi namkubali
 
khaki"tc just bcoz wa mwez mtukufu xo dizain ukitamka unakutana na lafudhi fulan iv amazin'
 
Back
Top Bottom