Nani bora, JK au Mkapa aliyekoroma tukakaa kimya?


Tanzania kichwa cha mwendawazimu, we never plan for future,we toy around with present and never learn from the past!
 

Hivi hiyo ilikuwa ni kutokana na jitihada na mipango endelevu ya Mkapa au ni WB na IMF ndio waliomtayarishia formula na kumuelekeza jinsi ya kufanya? Tukumbukeni kwamba mengi ya hayo yasemwayo kuwa ni mafanikio yalipatikana kutoka kwenye PRSP ya miaka ile ya 1990s ambazo zilitayarishwa kwa kiasi kikubwa na hao ndugu zetu wa Bretton Woods
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…