Nani bora kati ya Paul Pogba na Kevin De Bruyne?

Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Neymar, Paris Saint-Germain: 14 appearances
Philipp Max, FC Augsburg: 18 appearances
Pione Sisto, Celta Vigo: 19 appearances
Leroy Sane, Manchester City: 21 appearances
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
 
Soma mada uelewe!

Kazi ya kiungo ni ku assist na kuchezesha timu.

Pogba ana assist 9 wakati amecheza mechi 13 tu

De bruyne ana assists 9 amecheza mechi 23

Kwa akili yako unadhan hapo nani zaidi?
Kwani kinachofanya kiungo aonekane ni bora ni assist pekee?
 
Jamaa anajua kuifanya timu icheze vizuri, yani anafanya majukumu yake kama mchezaji, pamoja na kusaidia majukumu ya wengine.
Kwani Pogba hajui?

Tunampima kiungo kwa assist je huyo kelvin ana assits ngapi na pogba ana ngapi ukilinganisha na mechi walizocheza?
 
Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
At least wewe umejibu vizuri, assist pekee hazifanani mchezaji aonekane bora.
 
Kwani Pogba hajui?

Tunampima kiungo kwa assist je huyo kelvin ana assits ngapi na pogba ana ngapi ukilinganisha na mechi walizocheza?
Narudia tena, assist pekee haifanyi mchezaji aonekane bora kuliko wengine, chukulia mfano kante pale Chelsea, unaweza usione kama anafanya kazi kubwa akiwa uwanjani lakini, ukitaka ujue anafanya kazi kubwa subiri akikosekana kikosini!
 
Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
Ndio maana tunasema pogba ni mzuri maana ana mechi chache na mziki wake uwanjan unaonekana!
 
Back
Top Bottom