Kwa kigezo gani?Albino ni balaa
Soma hizi data acha taarabu.
Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Soma mada uelewe!Haina uhusiano na kilichoulizwa na mleta mada.
Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewaPaul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Neymar, Paris Saint-Germain: 14 appearances
Philipp Max, FC Augsburg: 18 appearances
Pione Sisto, Celta Vigo: 19 appearances
Leroy Sane, Manchester City: 21 appearances
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Jamaa anajua kuifanya timu icheze vizuri, yani anafanya majukumu yake kama mchezaji, pamoja na kusaidia majukumu ya wengine.Kwa kigezo gani?
Primary role ya kiungo sio kufunga ni kuchezesha timu na ku assist.Magoli mbona umeficha ni aje?
Kwani kinachofanya kiungo aonekane ni bora ni assist pekee?Soma mada uelewe!
Kazi ya kiungo ni ku assist na kuchezesha timu.
Pogba ana assist 9 wakati amecheza mechi 13 tu
De bruyne ana assists 9 amecheza mechi 23
Kwa akili yako unadhan hapo nani zaidi?
Taarabu ni nini?Soma hizi data acha taarabu.
Paul Pogba, Manchester United: 13 appearances 9assist
Kevin De Bruyne, Manchester City: 23 appearances 9assist
Et SHE hhhhaaaKDB ni noma pogba she is overrated like gaucho
Kwani Pogba hajui?Jamaa anajua kuifanya timu icheze vizuri, yani anafanya majukumu yake kama mchezaji, pamoja na kusaidia majukumu ya wengine.
At least wewe umejibu vizuri, assist pekee hazifanani mchezaji aonekane bora.Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
Ka google.Taarabu ni nini?
Narudia tena, assist pekee haifanyi mchezaji aonekane bora kuliko wengine, chukulia mfano kante pale Chelsea, unaweza usione kama anafanya kazi kubwa akiwa uwanjani lakini, ukitaka ujue anafanya kazi kubwa subiri akikosekana kikosini!Kwani Pogba hajui?
Tunampima kiungo kwa assist je huyo kelvin ana assits ngapi na pogba ana ngapi ukilinganisha na mechi walizocheza?
Ndio maana tunasema pogba ni mzuri maana ana mechi chache na mziki wake uwanjan unaonekana!Kwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
We jamaaaa unajua mpira mkuuiKwa wanaojua mpira watakuambia kuangalia statistics kama assists au number of goals sio kila kitu, ukiangalia hizo statistics unaweza kusema Paul Scholes, Andreas Iniesta ni wachezaji wa kawaida sana (average players at best) lakini pambana nao uwanjani ndio utaelewa
Tatizo mashabiki wa Man U mnaongea sana, mnakuwa kama wanachama wa CCM bwana.Ndio maana tunasema pogba ni mzuri maana ana mechi chache na mziki wake uwanjan unaonekana!
Kiungo utampima kwa kitu gani kama sio assist?Narudia tena, assist pekee hazifanani mchezaji aonekane bora
TAFADHALI SANA MKUU USINIFANANISHE NA CCM NAOMBA TUHESHIMIANE MKUU!!Tatizo mashabiki wa Man U mnaongea sana, mnakuwa kama wanachama wa CCM bwana.