Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

Red foxx,richard pryor,jim carey,dave chapelle,chris rock,eddie griffin na katt williams,na huyo uliemtaja
 
Mtafute huyu [emoji116] [emoji116] [emoji116]
fc4b5679366bb138f9101ed4c460cffd.jpg

Anaitwa Charlie Chaplin

Ulete mrejesho
Hatakuja kutokea mtu kama huyu
 
C. Chaplin ni anaweza, but dereva wa Lori ni kiboko yaaawo. Hadi ongezeko la watalii tunadhani wanakuja kuangalia wanyama kumbe wanakuja kucheki vituko vya Dereva.
Dereva katisha
 
Nikiwa na stress huwa namcheki Charlie C. hajatokea comedian on my side alievunja rekodi ya huyu jamaa
 
Yah Noah yupo vizuri yaani jamaa kama hakukulia afrika ..anajua vitu vingi then english yake kama ya wenyewe


kalagabaho tulikulia Africa tunajua vitu vingi vilevile bhana! Anyway, ile ya Noah ni talent, anafikiria haraka sana kwa jinsi anavyohojiana na watu. Mi napenda msimamo wake wa kisiasa na kijamii. Ile English kakua nayo nyumbani kwasababu mama yake ni mxhosa na baba yake ni kutoka Switzerland.
 
Huyu mtu bongo hawamjui wao wanajua mr bean tu


Mi sio fan wa comedy kama za Mr. Bean. Napenda watu wanaocheza movie with their normal faces na wanaongea kama kawaida. Dave Chappelle kwasasa ndio anaweza kunifanya niangalie au kumsikiliza hata kwa masaa Kadhaa. Siku hizi anapaanapatikana NETFLIX.
 
Mr bean, anakuchekesha huku amevaa suti na hatoi sauti yoyote, vitendo tu utacheka mpaka ukojoe,
Sio hao wengine mpaka ajiweke chokaa kichwani ili aonekane mzee
Bean hamuwezi Charlie Chaplin, Jamaa ni hatari kwa comedy za kimya kimya
 
Charlie chaplin baada ya hapo wacheck mind your language
 
Back
Top Bottom