Nakutaka kweli 😊Mwanzoni nilivyokua naona likes za raraa reree kila muda, nikadhani labda ananitaka ndio maana anafatilia kila nachoandika.
Daaah🥹Mwanzoni nilivyokua naona likes za raraa reree kila muda, nikadhani labda ananitaka ndio maana anafatilia kila nachoandika.
Dr. Mwigulu NchembaKuna watu humu ndani ni wataalam sana wa kumwaga like...
Sasa kama hujawahi kupewa like na leo dada na raraa reree tafadhali jitathmini sana.
Nani wengine unahisi wanafaa kushindana na hawa members wawili angalau kwa mbalii??
Umesubiri kwamba atakuja inbox lakini wapi.Mwanzoni nilivyokua naona likes za raraa reree kila muda, nikadhani labda ananitaka ndio maana anafatilia kila nachoandika.
Daah,kuniomba tena🙄Labda kuna kitu alishakuomba ukamnyima..
Ngoja nitakuja kuthibitisha kama ni kweli ama unamsingizia baada ya saa chache..
Daah,hatari sana.Ndiyo,si unajua nyie wote ni watu wazima mnaohitajiana katika kiu na njaa?
Binti leo una nini lol🤣🤣Mwanzoni nilivyokua naona likes za raraa reree kila muda, nikadhani labda ananitaka ndio maana anafatilia kila nachoandika.
Kumbe yupo humu
Shikilia hapo hapo 😄Nakutaka kweli 😊